Kitu ambacho kinaweza kumfanya mtu aje ajute ni kufikiri mtu mbaya anaweza kubadilika , ukishamtambua mtu ni mbaya / adui yako take action fast otherwise u will be screwed first
Mtoa mada inawezekana una somo muhinu katika maisha, ila ulivyoliweka hapa umeliweka kirahisirahisi sana. Ume generalize sana, ume simplify sana.
Mwanafizikia Albert Einstein alisema kitu kilichotafsiriwa kumaanisha "Make things as simple as possible, but not any simpler".
Wewe umefanya mambo yawe not only as simple as possible, but simpler.
Kwanza kabisa, hakuna mtu mbaya kabisa wala mzuri kabisa. Watu wanaweza kuwa wqbaya kwa wakati fulani, kwa mqzingira fulani, kwa sababu fulani, na mazingira hayo yakiwa hayapo, wakawa si wabaya.
Muandiahi nguli wa Kirusi aliyepata nishani ya Nobwl ya faaiahi ya mwaka 1970 aliandika hivi.
"The line separating good and evil passes not through states, nor between classes, nor between political parties either—but right through every human heart".