Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Mjinga mkubwa wewe, tatizo sio huyo mwanaume unayemwambia:
"Kaa mbali na mke/mpenzi/mwanamke wangu."
Tatizo ni mke, mpenzi au girlfriend wako amempa nafasi mwamba ya kuongea, kuwasiliana au kutaniana naye na kutongozwa na kuna uwezekano tayari kashampiga miti.
Shtuka adui yako ni mke au mwanamke wako.
Soma pia: Adui yako si Mwanamke. Adui yako huyu hapa
Shtuka adui yako ni mke au mwanamke wako.
Soma pia: Adui yako si Mwanamke. Adui yako huyu hapa