abdulrahman Said
JF-Expert Member
- Sep 11, 2019
- 719
- 952
Hizo unazoongea sasa ndo stori zako za kukariri.Unafikiri ni kwa nini mwanamke mpaka anafikia hatua ya kushikwa?
Unafikiri ni kila mwanamke basi mwanaume ana ubavu wa kuanza kumchezea na kumshikashika?
Ukisema hivyo mimi pia ntasema wewe mume ndo mwenye matatizo, mgonge vizuri mkeo, mtimizie mkeo haja zake, play part yako vizuri kama mwanaume, mpendezeshe apendeze. Hata hao mafala wanaochezea wake za watu watashindwa kumsogelea mkeo
Ukikaa kizembe watakumegea alafu uje kupiga kelele hapa mke! mke! mke!. Watu dhaifu ndo hukimbilia kulaumu wake zao, You always find the weaks to blame! Stupids
Mwanaume lazima uwe simba ili wapuuzi wasicheze na mkeo,