Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
The truthMjinga mkubwa wewe, tatizo sio huyo mwanaume unayemwambia:
"Kaa mbali na mke/mpenzi/mwanamke wangu."
Tatizo ni mke, mpenzi au girlfriend wako amempa nafasi mwamba ya kuongea, kuwasiliana au kutaniana naye na kutongozwa na kuna uwezekano tayari kashampiga miti.
Shtuka adui yako ni mke au mwanamke wako.
Acheni uoga
I presume mtoto wako wa miaka 15 akitembea na boda boda, wakatoroshana kapewa mimba huko, utadeal na mtoto wako aliyekubali kwenda mshkaji utaachane naye!
Vijana mnapenda kujikuta wajuaji, mnajionaga mnauzoefu na maisha. Life halikaliliwi kama notes mdogo angu kuna watu hawana heshima na wake za watu.
Soma vizuri post.Kuna mahali tumezungumzia binti wa miaka 15?
Soma vizuri post.
Wewe pia umesoma vizuri nilichoandika??Umesoma vizuri nilichoreply mkuu?
Mkeo ni under 18?I presume mtoto wako wa miaka 15 akitembea na boda boda, wakatoroshana kapewa mimba huko, utadeal na mtoto wako aliyekubali kwenda mshkaji utaachane naye!
Vijana mnapenda kujikuta wajuaji, mnajionaga mnauzoefu na maisha. Life halikaliliwi kama notes mdogo angu kuna watu hawana heshima na wake za watu.
Wewe pia umesoma vizuri nilichoandika??
Post yako inadai asifatwe mwanaume anayemchezea mkeo bali udeal na mke wako, based on your judgement kitokea mtoto wako of 15 yo kajipeleka mwenyewe kwa boda wakatoroshana wakapeana mimba huko utadeal na mtoto wako sio boda? Isn't this your logic?
Kwani miaka 15 sio mtu mzima? Hakuna watoto 15years na wanaweza kufanya maamuzi sahihi? Either way tuweke hiyo 18 unayotaka.Kinachozungumziwa ni mtu mzima aliye kwenye mahusiano mbona hilo liko wazi mkuu, hatuzungumzii under 18
Mimi napita sana mitaani, masokoni, vijana wengi hawana heshima na wanawake, humu humu kuna mtu alishaweka uzi anataka apewe ushauri jinsi ya kutongoza mke wa mtu, kuna watu wakiona wake za watu wanapita watajipigisha kelele, huyu atataka amshike mabega, huyu atataka amshike mkono, huyu atataka kumvuta. Hata ilivyokuwa kwa wewe mwanaume pia, umeoa lakini binti mwingine kajilengesha mwenyewe lazima utakanyaga.
Kwani miaka 15 sio mtu mzima? Hakuna watoto 15years na wanaweza kufanya maamuzi sahihi? Either way tuweke hiyo 18 unayotaka.
Kama anasoma kwa makadirio atakuwa kidato cha nne, ikitokea katoroshwa, akapewa mimba bado wewe judgement yako utadeal na mwanao na hutakiwi kumgusa mshkaji