Adult Talks: Kwa kupitia ndoa yako. Unawashauri vipi ambao hawajaoa?

Uwe na uwezo wa kutafuta pesa .Kama huna pesa usioe utaleta hasara kwa taifa na Jamii maana hutoweza kuwa na watoto wenye afya na malezi maZuri halafu utamtesa mke wako kimawazo .Again kama huna pesa ndoa haikuhusu
 
Duuu!! kwa hiyo Natalia pesa kiasi gani inahitajika kuko ndoani??
 
Waefeso 5:5 Maana neno hili mnalijua hakika, ya kwamba hakuna mwasherati wala mchafu wala mwenye tamaa, ndiye mwabudu sanamu, aliye na urithi katika ufalme wa Kristo na Mungu.
 
Umekaririshwa wapi hii ndugu maana nimeona kila Uzi unaicomment tu. Tafuta jukwaa maalum basi acha kuteseka na maisha ya watu.
 
Kama unataka furaha ya ndoa yako hakikisha umemzidi mwanamke umri angalau miaka mitano Na usisahau asiwe Na kipato kikakuzidi,
Narudia Tena hakikisha asikuzidi kipato,
Mkiwa Na watoto ndiyo utajua mwanamke akikuzidi kipato anakuwaje
 
Noted
 
Age difference matters, miaka mitano na zaidi ni mingi sn unakua kama unalea mwanao.
 
Tafuteni hela vijana huku kwenye ndoa hakuna jipya lolote lile
 
Age difference matters, miaka mitano na zaidi ni mingi sn unakua kama unalea mwanao.
Kwa kigezo hichohicho cha umri itafika wakati utagongewa huyo ulie mzidi umri
Kwa kifupi hao viumbe ningumu sana kuwaelewa wewe ishi kutokana na falsafa zako na asikudanganye mtu eti yupo atakae kuletea furaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…