Advance Physics ilivyokuwa inatugeuka ndani ya chumba cha mtihani

Ujinga wa physics unaweza ukafny bidii kusoma,basi unakua upo nondo saan kam wiki ivi.unasema yes ngoja nivute na somo lingine lisogee kidgo,ukija kurud kwenye physics unakuta upo mtupu tena

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Phyz ya hovyo sana, iliwahi nipigisha bao kwenye pepa
 
Tosamanganga member bila shaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah...mbona Hilo swali ni uji tu....shida iko wapi?[emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji2][emoji2] kuna washikaji flani wawili ilikuwa kila pepa ya phyz msimamizi akishaanza kunadi muda tu wanajipiga mabao. Dah

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Walimu wa hivyo ni wakuda sana, anaweza kuimba muda hadi dakika ya mwisho kabisa.

Utasikia imebaki saa 1, nusu saa, dakika 20, dakika 5..... Yaani hapo unashikwa na kiwewe mwishowe unatingisha nyavu
 
Aisee tunatofautiana mm advance( PCB )nilikuwa napumzikia kwenye Physics na Biology ,Chemistry na BAM ndio ilikuwa issue sikumbuki km niliwahi kupata juu ya F kwenye mathematics o level na A level
Chemistry aiseee. Chemistry ilikua na unafuu sana kwangu. Sijui kwanini Final sikupata A

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
R. I. P. Mzee Kazibure a.k.a Babu. Alitusaidia sana kwenye A. Physics pale Kibaha High School, tulikuwa tunamfuata hadi Dar akiwa anapiga tuition shule nyingine.

R. I. P. Mzee Hela, A. Chemistry naye alitokoa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…