Advance Physics ilivyokuwa inatugeuka ndani ya chumba cha mtihani

Advanced Physics haitakag mbwembwe! Nilipiga D yangu safi ya kuingilia chuo
Ila sitakuja sahau physics paper 3 necta 2013 ilichonifanya, nilivaa surual nyeus ila lile bao nililopiga wakat pressure imepanda bado lilionekana" that was my best ejaculation ever" mnaambiwa mnaama lab huku bado huna data hata moja
Unforgettable moment.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwaje ukapata D sasa maana kiphyz D sio ya sport
 
Nakuona Pondi Boy[emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahahaaaaaaa,kuna jamaaa moja aliitwa docta hapo mwenge alikusanya pesa zangu balaaa,topic moja 15000 nakumbuka alinimezsha #mechanic but sikuvua dafu,khaaaa mtoto wangu asomi phycs advance kabsa,nawaachia laana wakikaidi
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Phys ni habari nyingine aisee.

Ila ukiipatia ujanja wa kuisoma unafaulu vizuri tu, lakini ilikuwa inaabisha watu hatari[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu mimi nimesoma comment zote za huu uzi ndo mana nikaufufua.

Nilikuwa napatafuta hapo penye ujanja hapo.nashkuru nimepaona.

Sasa mkuu ebu mwaga maujanja hayo ili niyachukue niyafanye silabasi yangu.

Au PM mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaaaaaaa,kuna jamaaa moja aliitwa docta hapo mwenge alikusanya pesa zangu balaaa,topic moja 15000 nakumbuka alinimezsha #mechanic but sikuvua dafu,khaaaa mtoto wangu asomi phycs advance kabsa,nawaachia laana wakikaidi
Ila waliosoma physics wengi akili kubwa mkuu.

Mimi nitawakazania wakomae nalo hilo somo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ila sijafeli bro nna c ya physics bt ckutegemea kupata c maana n MOJA ya somo nililokua naliweza sana class nadhan nikajiamin kuptliza
Safi sana kijana.

Mimi enzi zangu wakati nasoma nilikuwa naipenda physics ila kufika form four sikujisajili kama ntafanya.nikawa naisoma just for leisure nikawa nainjoy.ila mtihani nikawa naogopa kufanya na mpaka NECTA sikufanya
 
hukua na malengo nayo au???
 
Safi sana kijana.

Mimi enzi zangu wakati nasoma nilikuwa naipenda physics ila kufika form four sikujisajili kama ntafanya.nikawa naisoma just for leisure nikawa nainjoy.ila mtihani nikawa naogopa kufanya na mpaka NECTA sikufanya
Ulikuwa na muda wa kupotezaa[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
Mkuu mimi nimesoma comment zote za huu uzi ndo mana nikaufufua.

Nilikuwa napatafuta hapo penye ujanja hapo.nashkuru nimepaona.

Sasa mkuu ebu mwaga maujanja hayo ili niyachukue niyafanye silabasi yangu.

Au PM mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuifaulu Phys inahitaji uthubutu na kujituma kwa mtu binafsi, hamna strategies maalumu za kufuata ili uweze kuifaulu ambapo tukisema kila mtu anayesoma Phys aziapply ndio atafaulu, never.

Jambo la kwanza lipende somo husika(Phys), niliipenda japo ilikuwa ngumu, sikukata tamaa kuisoma bali nilitia juhudi zaidi.

Nilibaini topic ngumu na rahisi, ili niweze kuwekeza nguvu kwa kila topic kulingana na uzito wake.

Nilisoma notes sambamba na kusolve maswali kwa wingi(nilisoma sana notes za Mgote, Chand zote 2, Nelkon, Understanding Physics, University Physics, Roger Muncaster, Review), ingawa maswali karibia yote ya hivyo vitabu nilikuwa siyakosi kwenye notes za Mgote yakiwa solved na mengine yakiwa yamewekewa bila kusoviwa.

Nilisolve sana past papers hasa za NECTA huku nikilinganishe jinsi wanavyotunga maswali mwaka mmoja na mwaka mwingine, na jinsi wanavyorudia maswali kwa interval fulani kwa kila topic husika.

Nilifanya sana mitihani ya kujipima, ndani na nje ya shule. Ndani ya shule tulitungiana papers sisi kwa sisi wanafunzi, nje ya shule nilienda kupiga series kwa Mtiga Mwenge ambapo tulilipia paper.

Kutokana na hizo series niliweza kubaini makosa na kuyarekebisha ikiwemo namna ya kujibu mitihani ya Phys(haihitaji siasa ni straight to the point hasa kwa Conceptual qns) na kuanza kujibu sections zenye maswali marahisi japo unaweza kukuta ina maksi chache(tambua sections ngumu na rahisi kwa kila paper).

Mwisho wa siku utaimprove na kuwa na uhakika wa kupata japo 50%.

Kwa kifupi ni hivyo ndivyo nilivyokuwa naisoma Phys.

NB: Kila siku ilikuwa lazima niguse masomo yote ya Combination(Phys, Chem, Biology).
 
Back
Top Bottom