Ndio imekataliwa, toka mwaka 2011 majadiliano yalipo anza hakuna kitu kimetokea, st joseph walianza mwaka fulani kutoa hii kozi wakazuiwa, Muundo wa utumishi wa MOH hauitambui, waanza kuitambua rasmi sio kuitambua kama AMO ambayo wanaiua taratibu
Mbona nimeeleza mkuu!Na kwenye board mnasajiliwa kama MD au AMO
TCU wanakutambua kama MD kwa sababu ile curriculum Ina vitu vyote anavyosoma MD lakini MCT /MAT wanatutambua kama AMO na wanasababu zao !Lakini tuna mwenyenzetu wamekataa kumtambua kama AMO Wala MD na badala yake anaitwa Clinical officer mwenye degree mpka atakapo fanya Interniship