KISII UNIVERSITY ,UKIACHA UNAFUU KIKO KARIBU NA TANZANIA IKITOKEA SHIDA YOYOTE NYUMBANI UNAENDA HARAKA,KUTOKA TARIME -MARA KUFIKA CHUONI NI MASAA MAWILI TU.
KUTOKA MWANZA MPAKA CHUONI (KISII NI MASAA SABA)
Kutokana na ubora wake admission Ina sumbua maana ni chuo Cha serikali.(Watanzania wapo )
2.GREAT LAKES UNIVERSITY KIKO JIJINI KISUMU ni rahisi sana kupata admission ukitama maombi siku hiyo hiyo wanakutumia admission letter (Hawana tatizo lolote kwenye admission)Ni chuo Cha private kwa mwaka wanasemester tatu (Trimesters) Kila semester unalipa Tsh 1.8M