Mr_Teacher
JF-Expert Member
- Feb 28, 2021
- 362
- 343
We jamaa unapenda ligi bila kuwa muelewa, ulichokiweka ww kuhusu Higher Diploma na nnlichokisema Mimi ni kitu kile kile ktk maneno tofaut, narudia na kuongezea kuwa Higher Diploma(NTA Level 7) ni below Advanced Diploma/Bachelor Degree/NTA Level 8. Na ni sahihi kuwa NTA Level 7 ni part ya NTA Level 8, na kama ulkua hujui MTU anayesoma ktk mfumo wa NTA ikitokea akashindwa to graduate ktk mwaka wake wa mwisho (NTA 8) anakua awarded NTA 7 mana alishaipita vzr(second year)Hata maana ya higher diploma hujui, nakutumia screenshot na kifungu cha sheria, usiwe mvivu wa kujifunza
View attachment 2106143