Advanced diploma vs Bachelor degree

Advanced diploma vs Bachelor degree

Hata maana ya higher diploma hujui, nakutumia screenshot na kifungu cha sheria, usiwe mvivu wa kujifunza

View attachment 2106143
We jamaa unapenda ligi bila kuwa muelewa, ulichokiweka ww kuhusu Higher Diploma na nnlichokisema Mimi ni kitu kile kile ktk maneno tofaut, narudia na kuongezea kuwa Higher Diploma(NTA Level 7) ni below Advanced Diploma/Bachelor Degree/NTA Level 8. Na ni sahihi kuwa NTA Level 7 ni part ya NTA Level 8, na kama ulkua hujui MTU anayesoma ktk mfumo wa NTA ikitokea akashindwa to graduate ktk mwaka wake wa mwisho (NTA 8) anakua awarded NTA 7 mana alishaipita vzr(second year)
 
Screenshot_20220203-104509.jpg

We jamaa unapenda ligi sana, ndo maana nikasema hata maana ya hio higher diploma hujaelewa,
Eti advanced diploma ni NTA level 8, OMG,
Vielelezo vyotw ninavyokupa bado unakaza fuvu
 
View attachment 2106969

Siku hizi mtu akitoka NTA 6 anaenda moja kwa moja bachelor's degree. Hiyo Higher diploma ni ipi? Nowadays hakuna advanced diploma bali mtu anaenda straight bachelor's degree na advanced diploma.

Na mtu aliyepita diploma kufikia bachelor degree akitaka kusoma masters anaenda moja kwa moja masters hakuna cha postgraduate diploma.

Unless unazungumzia vitu vya zamani.
 
Eti hakuna postgraduate diploma!
Uelewa wako unanishangaza
 
Siku hizi mtu akitoka NTA 6 anaenda moja kwa moja bachelor's degree. Hiyo Higher diploma ni ipi? Nowadays hakuna advanced diploma bali mtu anaenda straight bachelor's degree na advanced diploma.

Na mtu aliyepita diploma kufikia bachelor degree akitaka kusoma masters anaenda moja kwa moja masters hakuna cha postgraduate diploma.

Unless unazungumzia vitu vya zamani.
Usipende kusema kitu Fulani hakipo ( hamna), sema sijawahi kukiona
 
National higher diploma (NTA Level 7) sio sawa na Advanced diploma.
Advanced diploma ni equivalent to bachelor.
Na pia ilikuwa mtu ili aipate alikuwa na njia mbili
Form 6 + 3yrs = advanced diploma
Au
FTC/diploma + 3yrs= advanced diploma

Wakati kwa NTA Level 7 (higher diploma)
Form 6 + 2yrs= NTA 7 (most Arts)
Au
FTC/diploma + 2yrs = NTA 7 (most Eng)

NTA 7 huna sifa za kuadvance direct kwa masters wakati Advanced diploma ukiwa na 2yrs uzoefu unaingia masters bila PGD.

VIJANA WA JUZI BAADA YA KULETEWA NTA SYSTEM WAKAHISI NTA 7 NDO ADVANCED DIPLOMA NA NTA 5 NI FTC. HAPANA NTA 7 NI HIGHER DIPLOMA NA NTA 5 NI TECHNICIAN CERTIFICATE SIO FTC.
 
Siku hizi mtu akitoka NTA 6 anaenda moja kwa moja bachelor's degree. Hiyo Higher diploma ni ipi? Nowadays hakuna advanced diploma bali mtu anaenda straight bachelor's degree na advanced diploma.

Na mtu aliyepita diploma kufikia bachelor degree akitaka kusoma masters anaenda moja kwa moja masters hakuna cha postgraduate diploma.

Unless unazungumzia vitu vya zamani.
Kwanza PGD ni njia ya kubadili gia, mfano mimi nimesoma BEng Telecom ila nataka kufanya masters ya Civil Eng, then hapo nafanya PGD ya civil then naunga masters. Lakini pia PGD husaidia wale wasio na sifa ya gpa ya 2.7 kupata sifa za kuadvance masters baada ya kupata PGD (wale waliopata gentleman 2.0-2.6).

NTA LEVEL 7_HIGHER DIPLOMA
Hii ni baada ya kusoma semester 4 (miaka miwili) ya kwanza ya bachelor na ukashindwa kumalizia mwaka wa mwisho (nta 8) basi unaweza kuchukua matokeo na cheti chako cha higher diploma (nta 7)
NB: NTA NI SYSTEM YA VYUO VILIVYO CHINI YA NACTE KAMA DIT, TIA, IFM, CBE, ATC N.K
 
View attachment 2106969

We jamaa unapenda ligi sana, ndo maana nikasema hata maana ya hio higher diploma hujaelewa,
Eti advanced diploma ni NTA level 8, OMG,
Vielelezo vyotw ninavyokupa bado unakaza fuvu
yupo sahihi hata mimi nilikuwa naelewa kama wewe, kumbe tofauti, jamaa yangu aliishia mwaka wa 3 akachukua higher diploma level 7,sisi tukamalizia mwaka wa 4 tukapewa bachelor level 8

tukiwa chuo tulikuwa tunajidanganya higher diploma ndio advanced diploma, kwenye ajira sasa za utumishi , jamaa akaomba kazi za degree au advanced diploma maana siku hizi wanaweka hivo kwenye sifa za muombaji, yeye na sisi tukijua higher diploma level 7 ndio advanced diploma , akatimba dodoma , kachoma nauli kakesha anasoma, alikataliwa mlangoni kwenye kukaguliwa vyeti,

tukapewa elimu kuhusu ADVANCED DIPLOMA NA HIGHER DIPLOMA NI VITU VIWILI TOFAUTI

COMMENT ZA HAO JUU WAPO SAHIHI, HATA MIMI NILIKUWA NAUELEWA HIVO HIVO KAMA WEWE, NA TULIDANGANYANA HIVO SIKU ZOTE
 
Back
Top Bottom