Mr_Teacher
JF-Expert Member
- Feb 28, 2021
- 362
- 343
We jamaa unapenda ligi bila kuwa muelewa, ulichokiweka ww kuhusu Higher Diploma na nnlichokisema Mimi ni kitu kile kile ktk maneno tofaut, narudia na kuongezea kuwa Higher Diploma(NTA Level 7) ni below Advanced Diploma/Bachelor Degree/NTA Level 8. Na ni sahihi kuwa NTA Level 7 ni part ya NTA Level 8, na kama ulkua hujui MTU anayesoma ktk mfumo wa NTA ikitokea akashindwa to graduate ktk mwaka wake wa mwisho (NTA 8) anakua awarded NTA 7 mana alishaipita vzr(second year)Hata maana ya higher diploma hujui, nakutumia screenshot na kifungu cha sheria, usiwe mvivu wa kujifunza
View attachment 2106143
We jamaa unapenda ligi sana, ndo maana nikasema hata maana ya hio higher diploma hujaelewa,We jamaa unapenda ligi bila kuwa muelewa, ulichokiweka ww kuhusu Higher Diploma na nnlichokisema Mimi ni kitu kile kile ktk maneno tofaut, narudia na kuongezea kuwa Higher Diploma(NTA Level 7) ni below Advanced Diploma/Bachelor Degree/NTA Level 8. Na ni sahihi kuwa NTA Level 7 ni part ya NTA Level 8, na kama ulkua hujui MTU anayesoma ktk mfumo wa NTA ikitokea akashindwa to graduate ktk mwaka wake wa mwisho (NTA 8) anakua awarded NTA 7 mana alishaipita vzr(second year)
Let us agree to disagree maana huwez elewa concept am giving you.View attachment 2106969
We jamaa unapenda ligi sana, ndo maana nikasema hata maana ya hio higher diploma hujaelewa,
Eti advanced diploma ni NTA level 8, OMG,
Vielelezo vyotw ninavyokupa bado unakaza fuvu
Let us agree to disagree maana huwez elewa concept am giving you.
Japo upo nje ya mada according to heading ila Weka evidence, cause nimepitia page yao sijaona kitu kama hiko
Siku hizi mtu akitoka NTA 6 anaenda moja kwa moja bachelor's degree. Hiyo Higher diploma ni ipi? Nowadays hakuna advanced diploma bali mtu anaenda straight bachelor's degree na advanced diploma.View attachment 2106969
We jamaa unapenda ligi sana, ndo maana nikasema hata maana ya hio higher diploma hujaelewa,
Eti advanced diploma ni NTA level 8, OMG,
Vielelezo vyotw ninavyokupa bado unakaza fuvu
Eti hakuna postgraduate diploma!Siku hizi mtu akitoka NTA 6 anaenda moja kwa moja bachelor's degree. Hiyo Higher diploma ni ipi? Nowadays hakuna advanced diploma bali mtu anaenda straight bachelor's degree na advanced diploma.
Na mtu aliyepita diploma kufikia bachelor degree akitaka kusoma masters anaenda moja kwa moja masters hakuna cha postgraduate diploma.
Unless unazungumzia vitu vya zamani.
Usipende kusema kitu Fulani hakipo ( hamna), sema sijawahi kukionaSiku hizi mtu akitoka NTA 6 anaenda moja kwa moja bachelor's degree. Hiyo Higher diploma ni ipi? Nowadays hakuna advanced diploma bali mtu anaenda straight bachelor's degree na advanced diploma.
Na mtu aliyepita diploma kufikia bachelor degree akitaka kusoma masters anaenda moja kwa moja masters hakuna cha postgraduate diploma.
Unless unazungumzia vitu vya zamani.
Angalia mfano tu kdg, hii ni guide book ya TCU, hamna mahala imetaja eti wa Advanced Diploma lazima afanye PGD ndo aende Masters, nmekurahishia kaz kdg hiyo screenshot ili usihangaike kusoma yote ukachoa, acha ubishi
View attachment 2106930
National higher diploma (NTA Level 7) sio sawa na Advanced diploma.Usipende kusema kitu Fulani hakipo ( hamna), sema sijawahi kukiona
Kwanza PGD ni njia ya kubadili gia, mfano mimi nimesoma BEng Telecom ila nataka kufanya masters ya Civil Eng, then hapo nafanya PGD ya civil then naunga masters. Lakini pia PGD husaidia wale wasio na sifa ya gpa ya 2.7 kupata sifa za kuadvance masters baada ya kupata PGD (wale waliopata gentleman 2.0-2.6).Siku hizi mtu akitoka NTA 6 anaenda moja kwa moja bachelor's degree. Hiyo Higher diploma ni ipi? Nowadays hakuna advanced diploma bali mtu anaenda straight bachelor's degree na advanced diploma.
Na mtu aliyepita diploma kufikia bachelor degree akitaka kusoma masters anaenda moja kwa moja masters hakuna cha postgraduate diploma.
Unless unazungumzia vitu vya zamani.
yupo sahihi hata mimi nilikuwa naelewa kama wewe, kumbe tofauti, jamaa yangu aliishia mwaka wa 3 akachukua higher diploma level 7,sisi tukamalizia mwaka wa 4 tukapewa bachelor level 8View attachment 2106969
We jamaa unapenda ligi sana, ndo maana nikasema hata maana ya hio higher diploma hujaelewa,
Eti advanced diploma ni NTA level 8, OMG,
Vielelezo vyotw ninavyokupa bado unakaza fuvu
Form 6 + 3yrs= NTA 7 (most Eng)Wakati kwa NTA Level 7 (higher diploma)
Form 6 + 2yrs= NTA 7 (most Arts)
Au
FTC/diploma + 2yrs = NTA 7 (most Eng)
Sure kuna mwaka wa general course ndo asome semester 4 za nta 7[emoji106]Form 6 + 3yrs= NTA 7 (most Eng)