Advanced diploma vs Bachelor degree

Advanced diploma vs Bachelor degree

karv

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2019
Posts
1,802
Reaction score
3,253
Habari zenu wapendwa

Naomba kufahamu tofauti iliyopo kati ya advanced diploma na Bachelor degree.

~Ipi ni kubwa kuliko nyingine
~Sifa za kujiunga na kila moja

Ahsanteni na samahani kwa usumbufu
 
Hiyo advanced diploma ni equivalent na bachelor degree. Ila siku hizi hakuna advanced diploma ni kama imefutwa kwa baadhi ya nchi/vyuo badala yake ni bachelor degree inayotumika kwasasa.

Wengine watanirekebisha kama kuna mahali nimeenda wrong.
 
Advanced Diploma na Bachelor degree ni equivalent yaani Ni almost sawa. Wanasoma exactly course sawa ila ili Chuo kitoe Degree Badala ya Adv Dip kinapaswa kuwa na idadi fulani ya walimu wenye PhD tofauti na kule kwa Adv Dip wengi wana masters
 
tofauti ni majina tu hapo,

samahani graduate wa degree msipanikie
 
Kwenye Advanced diploma tofauti wakati ule ilikua. Asilimi 60 practical na 40 theory na degree ikawa 40 practice na 60 theory.
Lengo la awali ilikua ni watenda kazi na lengo la awali la shahada kwa mitaala yetu ilikua wasimamizi wa kazi .

Tofauti ingine ya waalimu.

Sehem kubwa ya walimu wa. Advanced walikuwa mastas na wenye uzoefu ktk utendaji na PhD wao walikuwa wachache Ila wabobevu ktk teknikalite za fani zao na walimu wa shahada ilikua PhD wenye uzoefu ktk maandiko na ushauri wakisaidiwa na mastaz wasio na uzoefu ktk utendaji Ila. Wana vigezo vya ualimu na ni walimu.
Pia baada ya mavyuo kuondolewa kwenye mawizara na mataasisi yanayojitegemea na kuanzishwa kwa. Mamlaka mbili tofauti yaani tcu na nacte. Vya advanced vikapelekwa nacte na vya degree. Vikapelekwa tcu. Ila baadae nacte walianza kusajili vyuo vya degree baada ya advanced kufutwa .

Hitimisho langu ni kuwa advanced ni equivalent kwa degree kwa kua ilikua inafanana kwa vitu vinavyosomwa. Ila wanatofautiana namna ya kusomahivyo hata sehemu kubwa ya muda wa masomo iliki sawa yaani km degree ya uhasibu miaka mitatu na. Advanced diploma ilikua miaka mitatu.
 
Hiyo advanced diploma ni equivalent na bachelor degree. Ila siku hizi hakuna advanced diploma ni kama imefutwa kwa baadhi ya nchi/vyuo badala yake ni bachelor degree inayotumika kwasasa.

Wengine watanirekebisha kama kuna mahali nimeenda wrong.
Nadhani hii Adv.Dipl iko katika nchi yetu tu! Nasikia nje ya nchi Advanced Diploma haitambuliki.
 
Hazipo sawa Advanced diploma ni NTA level 7 Bachelor degree ni NTA level 8
Pia mtu aliyesoma degree akimaliza anaweza kwenda Masters wakati aliyesoma Advanced diploma ili apate Masters inabidi achukue post graduate diploma.
NOTE: Hii ni case ni tofauti na wale waliosoma Bachelor's degree nyingine kisha wanasoma postgraduate diploma ili wahame fani katika Masters zao
 
Pole, umekosea; Advanced Diploma ni sawa kbs na Bachelor Degree hivyo zote ktk mfumo wa NTA ni sawa na NTA 8 na wote, mwenye Bachelor Degree au mwenye Advanced Diploma wanaenda Masters vizuri KBS bila shida. Hiyo NTA 7 ni Higher Diploma, which is below Advanced Diploma/Bachelor Degree
 
Hata maana ya higher diploma hujui, nakutumia screenshot na kifungu cha sheria, usiwe mvivu wa kujifunza

Screenshot_20220203-102701.jpg
 
Huwaga sipendi MTU
Pole, umekosea; Advanced Diploma ni sawa kbs na Bachelor Degree hivyo zote ktk mfumo wa NTA ni sawa na NTA 8 na wote, mwenye Bachelor Degree au mwenye Advanced Diploma wanaenda Masters vizuri KBS bila shida. Hiyo NTA 7 ni Higher Diploma, which is below Advanced Diploma/Bachelor Degree
Huwaga sipendi mtu mbishi,
Mtu aliyesoma Advanced diploma INA mbidi a some postgraduate diploma ili achukue Masters, ndo maana nikaweka angalizo wale wanaochukua postgraduate diploma baada ya degree ni wale wanaotaka kubadili fani ambayo haiendani na bachelor degree zao
 
Attachments

Moja ya Applications za Advanced diploma kwawatu wa Afya, miongoni mwa hivyo vyuo ni CUHAS Mwanza na AMO Tanga

Screenshot_20220203-104509.jpg
 
Huwaga sipendi MTU

Huwaga sipendi mtu mbishi,
Mtu aliyesoma Advanced diploma INA mbidi a some postgraduate diploma ili achukue Masters, ndo maana nikaweka angalizo wale wanaochukua postgraduate diploma baada ya degree ni wale wanaotaka kubadili fani ambayo haiendani na bachelor degree zao

Kiongozi mtu mwenye Advanced Diploma anaweza kuenda masters direct kama ana GPA 3.5 mfano wa chuo ni OUT kama ukiweza unaweza kupitia kwenye page yao
 
Japo upo nje ya mada according to heading ila Weka evidence, cause nimepitia page yao sijaona kitu kama hiko
 
Huwaga sipendi MTU

Huwaga sipendi mtu mbishi,
Mtu aliyesoma Advanced diploma INA mbidi a some postgraduate diploma ili achukue Masters, ndo maana nikaweka angalizo wale wanaochukua postgraduate diploma baada ya degree ni wale wanaotaka kubadili fani ambayo haiendani na bachelor degree zao
1. hii attachment yako haina sehem iliyosema kuwa mwenye Advanced Diploma lazima afanye PGD ndo aende Masters
2. Nna ushahid wa watu wengi tu waliokua na Advanced Diploma na wakaenda kufanya Masters directly
 
Huwaga sipendi MTU

Huwaga sipendi mtu mbishi,
Mtu aliyesoma Advanced diploma INA mbidi a some postgraduate diploma ili achukue Masters, ndo maana nikaweka angalizo wale wanaochukua postgraduate diploma baada ya degree ni wale wanaotaka kubadili fani ambayo haiendani na bachelor degree zao
Angalia mfano tu kdg, hii ni guide book ya TCU, hamna mahala imetaja eti wa Advanced Diploma lazima afanye PGD ndo aende Masters, nmekurahishia kaz kdg hiyo screenshot ili usihangaike kusoma yote ukachoa, acha ubishi

Screenshot_20220203-221502.png
 
Majina kibao lakini utendaji hakuna,
Tuna watu Wana PHD,maprofesa,wahandisi lakini miradi kibao na mikubwa ya ujenzi wa miundo m Inu inajengwa na vijana wenye diploma kutoka china.
Kuna kampuni kubwa ya cm hapa Nchini,ina wahandisi wenye hizo bacherol degrees lakini,wanafundishwa tekinolojia na vijana wa kichina wenyediploma
 
Back
Top Bottom