Aende degree ipi kati ya hizi: Civil, Mechanical, Electrical, Mineral au Data Science? Matokeo yake ni GPA 1.6 (PCM)

Mechanical/Electrical zingine ni bahati nasibu
 
Bwana Mdogo aende CIVIL ENGINEERING, kazi zipo bwana. Napendaga kutolea mfano. Kuna Jamaa amesoma Civil Engineering anasimamia kwenye Miradi ya Maji.

Analipwa mshahara mzuri sana, Civil Engineering inasoko nyumba na Majengo ya Serikali hayataisha kujengwa.

PCM hawezi kuenda kusoma Medicine over.
 
Huyo hana talents hizi zote?
 
Ni maajabu mpaka anafika kidato cha sita na kupata 1.6 alafu bado hujui unataka ukasome nini chuo. Ushauri wa msingi anaoweza kupewa ni achague fani anayoipenda ndio akaosomee.
Suala la kwenda kusoma kitu fulani kwa msingi wa ajira lita m disappoint sana hapo mbeleni.
 
Vyote kasoro minero
 
Huyo hana talents hizi zote?
Nilimuuliza talent yake iko wapi hasa, na ambacho angependa kukisomea, kaishia kuniambia Mathematics.

Ila elimu yetu ineharibiwa sana aisee, imagine dogo anakwambia yeye anataka kitu ambacho atapata connection ya kazi akimaliza, yeye atasoma ichoicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…