Aende degree ipi kati ya hizi: Civil, Mechanical, Electrical, Mineral au Data Science? Matokeo yake ni GPA 1.6 (PCM)

Hakuna kitu kinaitwa BS Artificial Intelligence Engineering, kuna BSc Artificial Intelligence tu (3 years) na BSc Data Science (3 years).
BS is a common degree title in the USA and several other countries as a standard degree title.
Here are few examples:
Artificial Intelligence Engineering | Penn State Engineering
 

Hiyo bado ni science jaribu kufungua hiyo link uone huo mtaala ni wasayansi.
 
Kubeti imeathiri Hiki kizaz
Kubeti imeingia sekta nyingi
Kubeti hadi kozi

Your future is your choice
 
Ni sawa lakini kwa mtu mwenye ulewa na dunia hawezi kuacha kusoma mambo ya muhimu kama Civil, Mechanical, Chemistry, physics, Electrical, Computer, Energy, Petrolem n.k akajikita na Data Sciance.
Kusoma BSc Physics au Chemistry ndo uelewa wa mambo ya dunia? kwanza hayo mambo ya dunia yapo wapi? ushauri wa msingi ni dogo kusoma kile ambacho anaona ni passion yake ili akija mtaani asijute.
 
Kusoma BSc Physics au Chemistry ndo uelewa wa mambo ya dunia? kwanza hayo mambo ya dunia yapo wapi? ushauri wa msingi ni dogo kusoma kile ambacho anaona ni passion yake ili akija mtaani asijute.
Kwani Physics maana yake nini na Chemistry maana yake nini?
 
Kila
Kozi mtandaoni inapondewa.Kuna mtu kasema madaktari wengi wana stress,sababu walichosoma na wanacholipwa ni tofauti,sasa vijana wetu wakasome kozi zipi?
 
electrical DIT pale
Mechanical UDSM pale

zote ni engeneering zenye soko maaa maisha hayawezi enda bila nidhati na viwanda tena kwa nchi kama yetu ambayo bado tunakuwa katika nishati na viwanda
 
Utabibu ndio una hela 🤣 ? Nani kakudanganya ?
 
Kama anajiweza aende mechanical ingawa ni ngumu saana ila akimaliza aende aircraft engineer atcl au popote kampuninziko kibao sasa ......utanishukuru baada 4 yrs .......ila ngumu msuli wa kiume haswaa.......

Mambo kwa ground ni magumu, wako hao was ME na wanasota sana Mtaani, maana bil conns ni holla.
 
Electrical ni kozi nzuri inasoko Kwa Sababu Watu hawataacha kujenga na Kuweka miundombinu ya umeme Lakini Ina Watu wengi sokoni,

Lakini Data science ni potential kozi Kwa Wakati huu wa ulimwengu wa technologia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…