Aende tu kwa Kilichompeleka na kamwe siyo kwa Kuijasusia Rwanda, kwani hatopata chochote kwakuwa Rwanda ya sasa ni Israel Kiujasusi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Mhe. Mej. Jen. Richard M. Makanzo awasilisha hati zake za utambulisho kwa Mhe. Rais Paul Kagame wa Rwanda.

Chanzo: Ukurasa wa Mtandao ( Instagram ) wa Msemaji wa Serikali Bw. Gerson Msigwa.

Kaipelelezeni Burundi ila siyo Rwanda.
 
Mkuu wewe si Mtanzania au ni Mtu Rwanda.sio vizuri unavyofanya.Hata kama Tanzania inakuboa jitahidi kujizuia.
 
Kama wanaujasusi wakutosha mbona tulisha wapiga Kongo, walipo zuga Kwa njia ya uasi wa M23, acheni Kuwa mwambafai sana,
Mkuu M23 aikupigwa na tanzania pekee kikosi kiliundwa na nchi Tatu tanzania [emoji1241] Malawi [emoji1156] kwa upande wa ardhini na South africa [emoji1221] upande wa angani. all in all rwanda upande wa ujasusi yupo vizuri tena sana
 
Hiyo ni political fear waliojengewa wananchi wa kule
Sirikali yao inafatilia hata mambo ya kawaida nadhani ni tahadhari ya kuogopa yasitokee yale ya 1990s..
Serikali ya tz iko vizuri sana sema haifatilii mambo ya hovyo kwa mfano hapa nimeshakula lunch nimeshiba naenda zangu kijiweni kuisema serekali..kule rwanda hata kijiweni ukianzisha mada za kuichambua serekali watu hawakujibu .. Na ukiendelea wanatawanyika
 
Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Mhe. Mej. Jen. Richard M. Makanzo awasilisha hati zake za utambulisho kwa Mhe. Rais Paul Kagame wa Rwanda.

Chanzo: Ukurasa wa Mtandao ( Instagram ) wa Msemaji wa Serikali Bw. Gerson Msigwa.

Kaipelelezeni Burundi ila siyo Rwanda.
Rwanda ina nini zaidi ya akiba ya mafuvu milioni moja yaliyosalia kwenye mauaji ya kimbari?
 
Mkuu M23 aikupigwa na tanzania pekee kikosi kiliundwa na nchi Tatu tanzania [emoji1241] Malawi [emoji1156] kwa upande wa ardhini na South africa [emoji1221] upande wa angani. all in all rwanda upande wa ujasusi yupo vizuri tena sana
Nikweli lakini si uliona vijana wa Mwakibolwa walivopiga ile mission
 
Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Mhe. Mej. Jen. Richard M. Makanzo awasilisha hati zake za utambulisho kwa Mhe. Rais Paul Kagame wa Rwanda.

Chanzo: Ukurasa wa Mtandao ( Instagram ) wa Msemaji wa Serikali Bw. Gerson Msigwa.

Kaipelelezeni Burundi ila siyo Rwanda.
Wewe lazima utakuwa ni chakula ya kagame maana haiwezekani kila kukicha unamsifia mwanaume mwenzako.
 
Mkuu M23 aikupigwa na tanzania pekee kikosi kiliundwa na nchi Tatu tanzania [emoji1241] Malawi [emoji1156] kwa upande wa ardhini na South africa [emoji1221] upande wa angani. all in all rwanda upande wa ujasusi yupo vizuri tena sana
Tanzania ndio imelala, badala ya kujaza watu ambao wako vizuri kichwani imejaza makada wa chama
 
Mitanganyika inasifia kila kitu cha hovyo ilimradi tu kinatoka nje.

Mitanganyika inaona Nairoib ni zaidi ya London. Mtanganyika akifika Nairobi mtaa mzima utajua atarudi kavaa cultures za Kenya na kuongea ka mkenya hata kama amekaa siku 2 tu Nairobi.

Mitanganyika inasifia wimbo wowote ule wa Nigeria hata uwe mbaya vp. Sasa nao wanaongea pidgin English. SMH

Mitanganyika sasa inasifia Rwanda sijui kwa lipi. Watu hawana sababu za msingi ila ni kusifia tu Rw ili nao waonekane wajuaji. Rw imezidiwa na mkoa mmoja tu wa TZ kwa kila kitu including intelligence na pisi. Nendeni Manyara na Singida mjionee sio kukaa tu sebleni kwa shemeji zenu na kuanza kusifia wanaume wenzenu.

Mitanganyika ya hovyo sana.
 
Mitanganyika inasifia kila kitu cha hovyo ilimradi tu kinatoka nje.

Nairobi inaona ni zaidi ya London. Mtanganyika akifika Nairobi mtaa mzima utajua atarudi kavaa cultures za Kenya na kuongea ka mkenya hata kama amekaa siku 2 tu Nairobi.

Mitanganyika inasifia wimbo wowote ule wa Nigeria hata uwe mbaya vp. Sasa nao wanajikuta wanaongea pidgin English.

Mitanganyika sasa inasifia Rwanda sijui kwa lipi. Watu hawana sababu za msingi ila ni kusifia tu Rw ili nao waonekane wajuaji. Rw imezidiwa na mkoa mmoja tu wa TZ kwa kila kitu including intelligence na pisi. Nendeni Manyara na Singida mjionee sio kukaa tu sebleni kwa shemeji zenu na kuanza kusifia wanaume wenzenu.

Mitanganyika ya hovyo sana.
Zero than zero
 
Back
Top Bottom