Anajifanya amesahau, mpaka Jamaa akaaza kumponda Mkulu wa Kipindi kile, eti ooh raisi gani anachekacheka, mara ooh nikipewa bandali moja ya Tz naweza fanya makubwa, kumbe nyuma ya pazia ni baada ya kupigwa wale waiba madini wao pale Kongo. Kama wao ni Gwiji mbona imekuwa rahisi kujulikana. Kwa taarifa tuu, Tanzania inao watumishi wakutosha, Walio funzwa na na Kula viapo vilivyo tukuka, wenye kuzijua Siri nzito zenye thamani kuliko uhai. East, West, South, hadi Central..n.k, nawanaitumikia nchi bila kuacha hata alama za nyayo zao...