GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mnawatukuza sana, hawana lolote,tusije tukampoteza major wetu .akafanye kazi za ubalozi tu,ya ufukunyuku aachame nayo.wale ni zaidi Ya maspy aise.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wewe si Mtanzania au ni Mtu Rwanda.sio vizuri unavyofanya.Hata kama Tanzania inakuboa jitahidi kujizuia.Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Mhe. Mej. Jen. Richard M. Makanzo awasilisha hati zake za utambulisho kwa Mhe. Rais Paul Kagame wa Rwanda.
Chanzo: Ukurasa wa Mtandao ( Instagram ) wa Msemaji wa Serikali Bw. Gerson Msigwa.
Kaipelelezeni Burundi ila siyo Rwanda.
Mkuu M23 aikupigwa na tanzania pekee kikosi kiliundwa na nchi Tatu tanzania [emoji1241] Malawi [emoji1156] kwa upande wa ardhini na South africa [emoji1221] upande wa angani. all in all rwanda upande wa ujasusi yupo vizuri tena sanaKama wanaujasusi wakutosha mbona tulisha wapiga Kongo, walipo zuga Kwa njia ya uasi wa M23, acheni Kuwa mwambafai sana,
Rwanda ina nini zaidi ya akiba ya mafuvu milioni moja yaliyosalia kwenye mauaji ya kimbari?Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Mhe. Mej. Jen. Richard M. Makanzo awasilisha hati zake za utambulisho kwa Mhe. Rais Paul Kagame wa Rwanda.
Chanzo: Ukurasa wa Mtandao ( Instagram ) wa Msemaji wa Serikali Bw. Gerson Msigwa.
Kaipelelezeni Burundi ila siyo Rwanda.
Nikweli lakini si uliona vijana wa Mwakibolwa walivopiga ile missionMkuu M23 aikupigwa na tanzania pekee kikosi kiliundwa na nchi Tatu tanzania [emoji1241] Malawi [emoji1156] kwa upande wa ardhini na South africa [emoji1221] upande wa angani. all in all rwanda upande wa ujasusi yupo vizuri tena sana
Wewe lazima utakuwa ni chakula ya kagame maana haiwezekani kila kukicha unamsifia mwanaume mwenzako.Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Mhe. Mej. Jen. Richard M. Makanzo awasilisha hati zake za utambulisho kwa Mhe. Rais Paul Kagame wa Rwanda.
Chanzo: Ukurasa wa Mtandao ( Instagram ) wa Msemaji wa Serikali Bw. Gerson Msigwa.
Kaipelelezeni Burundi ila siyo Rwanda.
Tanzania ndio imelala, badala ya kujaza watu ambao wako vizuri kichwani imejaza makada wa chamaMkuu M23 aikupigwa na tanzania pekee kikosi kiliundwa na nchi Tatu tanzania [emoji1241] Malawi [emoji1156] kwa upande wa ardhini na South africa [emoji1221] upande wa angani. all in all rwanda upande wa ujasusi yupo vizuri tena sana
In East and Central Africa no country can touch RwandaMnawatukuza sana, hawana lolote,
Zero than zeroMitanganyika inasifia kila kitu cha hovyo ilimradi tu kinatoka nje.
Nairobi inaona ni zaidi ya London. Mtanganyika akifika Nairobi mtaa mzima utajua atarudi kavaa cultures za Kenya na kuongea ka mkenya hata kama amekaa siku 2 tu Nairobi.
Mitanganyika inasifia wimbo wowote ule wa Nigeria hata uwe mbaya vp. Sasa nao wanajikuta wanaongea pidgin English.
Mitanganyika sasa inasifia Rwanda sijui kwa lipi. Watu hawana sababu za msingi ila ni kusifia tu Rw ili nao waonekane wajuaji. Rw imezidiwa na mkoa mmoja tu wa TZ kwa kila kitu including intelligence na pisi. Nendeni Manyara na Singida mjionee sio kukaa tu sebleni kwa shemeji zenu na kuanza kusifia wanaume wenzenu.
Mitanganyika ya hovyo sana.