kama hujatumia hadi sasa! kwakweli sikushauri utachizika!!.wapo waliotaka kujaribu kama wewe,kilichofata mwingine njia nzima anaona minara na nyaya za umeme zipo chini anainama asiziguse,mwingine akataka kujisaidia haja kubwa akajificha nyuma ya mchaichai na kujiona yupo bonge la msitu!!.mwingine njaa ikambana sana akajikuta akila ugali mkubwa na sukari na haukubaki,mwingne njiani anaona maji anainua miguu ayaruke wakati pakavu!!, na mwingne anaona madimbwi kama mto kagera anajipanga kuruka kuanzia mbali. angalia bangi bhana
Mimi si mtumiaji wa vyote hivyo lakini kama nitaamua siku moja basi nitachagua jani kwasabu
-haivutwi hadharani
-haivutwi kila wakati
-inatibu baadhi ya magonjwa hasa ya kisaikolojia
-inapunguza stress
lakini ugoro hapana kwakuwa;
-unaharibu meno yanakuwa meusiii
-una harufu mbaya
- unachafua mazingira kwa kutematema mate hovyo
- inabidi utumie kila muda
- unaleta hasira
LAKINI; VYOTE VINA MADHARA KIAFYA
kama hujatumia hadi sasa! kwakweli sikushauri utachizika!!.wapo waliotaka kujaribu kama wewe,kilichofata mwingine njia nzima anaona minara na nyaya za umeme zipo chini anainama asiziguse,mwingine akataka kujisaidia haja kubwa akajificha nyuma ya mchaichai na kujiona yupo bonge la msitu!!.mwingine njaa ikambana sana akajikuta akila ugali mkubwa na sukari na haukubaki,mwingne njiani anaona maji anainua miguu ayaruke wakati pakavu!!, na mwingne anaona madimbwi kama mto kagera anajipanga kuruka kuanzia mbali. angalia bangi bhana
Hahahahaaaaa Mom Fay umejuaje yote haya ?aisee sitakaa niiguse hii kitu
Ganja farmerMimi si mtumiaji wa vyote hivyo lakini kama nitaamua siku moja basi nitachagua jani kwasabu
-haivutwi hadharani
-haivutwi kila wakati
-inatibu baadhi ya magonjwa hasa ya kisaikolojia
-inapunguza stress
lakini ugoro hapana kwakuwa;
-unaharibu meno yanakuwa meusiii
-una harufu mbaya
- unachafua mazingira kwa kutematema mate hovyo
- inabidi utumie kila muda
- unaleta hasira
LAKINI; VYOTE VINA MADHARA KIAFYA
Afadhali bangi kuliko papuchiafadhali ya papuchi kuliko bange na ugoro! unapata faida zifuatazo..
- unapunguza uzito kwanza
- unapata extreme raha
- ni sehemu ya zoezi pia kwani ile push up push down inahitaji zoezi, so ni zoezi pia
- inaongeza uwezo wa kufikiria sana, hivyo inakupa akili
- Ni sehemu ya kuongeza familia na watoto duniani..
sent from kanda maalum ya kijeshi tarime using my Iphone 7
Kabisa....Na unachafua meno na mazingira
Yeah muda kweli kaka mkubwa, tupo salama mambo ya awamu ya 6 yametubana kidogo...Long time brother no see you
Daah! Hii kitu ni mbaya sans ulichokisema ni kweli mkuu, kwani kwa upande wa familia nimeona hayo madhara kwa mtu aliyekuwa anatumi.ugoro unasababisha kansa ya fizi ...