Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Mimi si mtumiaji wa vyote hivyo lakini kama nitaamua siku moja basi nitachagua jani kwasabu
-haivutwi hadharani
-haivutwi kila wakati
-inatibu baadhi ya magonjwa hasa ya kisaikolojia
-inapunguza stress
lakini ugoro hapana kwakuwa;
-unaharibu meno yanakuwa meusiii
-una harufu mbaya
- unachafua mazingira kwa kutematema mate hovyo
- inabidi utumie kila muda
- unaleta hasira
LAKINI; VYOTE VINA MADHARA KIAFYA
-haivutwi hadharani
-haivutwi kila wakati
-inatibu baadhi ya magonjwa hasa ya kisaikolojia
-inapunguza stress
lakini ugoro hapana kwakuwa;
-unaharibu meno yanakuwa meusiii
-una harufu mbaya
- unachafua mazingira kwa kutematema mate hovyo
- inabidi utumie kila muda
- unaleta hasira
LAKINI; VYOTE VINA MADHARA KIAFYA