Afadhali bangi kuliko ugoro

Afadhali bangi kuliko ugoro

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Mimi si mtumiaji wa vyote hivyo lakini kama nitaamua siku moja basi nitachagua jani kwasabu
-haivutwi hadharani
-haivutwi kila wakati
-inatibu baadhi ya magonjwa hasa ya kisaikolojia
-inapunguza stress

lakini ugoro hapana kwakuwa;
-unaharibu meno yanakuwa meusiii
-una harufu mbaya
- unachafua mazingira kwa kutematema mate hovyo
- inabidi utumie kila muda
- unaleta hasira

LAKINI; VYOTE VINA MADHARA KIAFYA
 
afadhali ya papuchi kuliko bange na ugoro! unapata faida zifuatazo..

  • unapunguza uzito kwanza
  • unapata extreme raha
  • ni sehemu ya zoezi pia kwani ile push up push down inahitaji zoezi, so ni zoezi pia
  • inaongeza uwezo wa kufikiria sana, hivyo inakupa akili
  • Ni sehemu ya kuongeza familia na watoto duniani..

sent from kanda maalum ya kijeshi tarime using my Iphone 7
 
kama hujatumia hadi sasa! kwakweli sikushauri utachizika!!.wapo waliotaka kujaribu kama wewe,kilichofata mwingine njia nzima anaona minara na nyaya za umeme zipo chini anainama asiziguse,mwingine akataka kujisaidia haja kubwa akajificha nyuma ya mchaichai na kujiona yupo bonge la msitu!!.mwingine njaa ikambana sana akajikuta akila ugali mkubwa na sukari na haukubaki,mwingne njiani anaona maji anainua miguu ayaruke wakati pakavu!!, na mwingne anaona madimbwi kama mto kagera anajipanga kuruka kuanzia mbali. angalia bangi bhana
 
Hahahahaaaaa Mom Fay umejuaje yote haya ?aisee sitakaa niiguse hii kitu
 
Inategemea jinsi unavo fuata kanuni zake za uvutaji,watu wengi wanavuta bangi pasipofuata kanuni zake ndomana wanaishia kuwa wehu,kuvua nguo nakufanya mambo dizain kama ayo,unaweza vuta bangi mda wa miaka kumi bila kupata stimu yake halisi b'se hufat kanun.
 
ndugu yangu vyote nivina madhara makubwa kwa afya ya mwanadamu ni kuviacha tu

Mimi si mtumiaji wa vyote hivyo lakini kama nitaamua siku moja basi nitachagua jani kwasabu
-haivutwi hadharani
-haivutwi kila wakati
-inatibu baadhi ya magonjwa hasa ya kisaikolojia
-inapunguza stress

lakini ugoro hapana kwakuwa;
-unaharibu meno yanakuwa meusiii
-una harufu mbaya
- unachafua mazingira kwa kutematema mate hovyo
- inabidi utumie kila muda
- unaleta hasira

LAKINI; VYOTE VINA MADHARA KIAFYA
 
kama hujatumia hadi sasa! kwakweli sikushauri utachizika!!.wapo waliotaka kujaribu kama wewe,kilichofata mwingine njia nzima anaona minara na nyaya za umeme zipo chini anainama asiziguse,mwingine akataka kujisaidia haja kubwa akajificha nyuma ya mchaichai na kujiona yupo bonge la msitu!!.mwingine njaa ikambana sana akajikuta akila ugali mkubwa na sukari na haukubaki,mwingne njiani anaona maji anainua miguu ayaruke wakati pakavu!!, na mwingne anaona madimbwi kama mto kagera anajipanga kuruka kuanzia mbali. angalia bangi bhana

kila kitu kina utaratibu wake pale unapokuwa mtumiaj wa kwanza, lets say unapoanza tumia bia huwez anza na bia tano...aiseee lazima udate na utafanya uloyasema apo juu.ata kwa weed kama we ni biginer kuna kanun zake zakufuata then taratibu unakua mzoefu but ukienda papara lazima ujinyee.
 
Mimi si mtumiaji wa vyote hivyo lakini kama nitaamua siku moja basi nitachagua jani kwasabu
-haivutwi hadharani
-haivutwi kila wakati
-inatibu baadhi ya magonjwa hasa ya kisaikolojia
-inapunguza stress

lakini ugoro hapana kwakuwa;
-unaharibu meno yanakuwa meusiii
-una harufu mbaya
  • unachafua mazingira kwa kutematema mate hovyo
  • inabidi utumie kila muda
  • unaleta hasira

LAKINI; VYOTE VINA MADHARA KIAFYA
Ganja farmer
 
afadhali ya papuchi kuliko bange na ugoro! unapata faida zifuatazo..

  • unapunguza uzito kwanza
  • unapata extreme raha
  • ni sehemu ya zoezi pia kwani ile push up push down inahitaji zoezi, so ni zoezi pia
  • inaongeza uwezo wa kufikiria sana, hivyo inakupa akili
  • Ni sehemu ya kuongeza familia na watoto duniani..

sent from kanda maalum ya kijeshi tarime using my Iphone 7
Afadhali bangi kuliko papuchi
INA magonjwa
INA harufu
INA gharama
INA usumbuf
Inaweza kukupiga kimavi [emoji23] [emoji1544][emoji1550]
 
Back
Top Bottom