Afadhali huu Msiba wa Malkia Elizabeth umemkuta Rais Samia. Dkt. Magufuli ninavyomjua asingeenda. mama kafungua nchi

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Nafarijika sana napomuona Rais wangu samia anajichanganya. Anafungua nchi sana aisee...

Nimemwona kwenye mwendokasi la huko England akienda msibani kwa Malkia Elizabeth. Afadhali Malkia kafa kipindi hiki. Ingekuwa miaka miwili ago.

Magufuli namjua asingeenda. Hivyo nchi isingefunguka. Tunashukuru sana....sasa angalau nasi tunapata wasaaa....
 
Lugha ilimpiga chenga yule mwendazake. Angejiaibisha tuu huko.
 
Nafarijika sana napomuona rais wangu samia anajichanganya. Anafungua nchi sana aisee .. . Nimemwona kwenye mwendokasi la huko England akienda msibani kwa Malikia Elizabeth. Afadhali Malkia kafa kipindi hiki. Ingekuwa miaka miwili ago.

Magufuli namjua asingeenda. Hivyo nchi isingefunguka. Tunashukuru sana....sasa angalau nasi tunapata wasaaa....
Kwamba tungepungukiwa nini sasa?

Rais anaenda kupandishwa daladala.
 
Nafarijika sana napomuona rais wangu samia anajichanganya. Anafungua nchi sana aisee .. . Nimemwona kwenye mwendokasi la huko England akienda msibani kwa Malikia Elizabeth. Afadhali Malkia kafa kipindi hiki. Ingekuwa miaka miwili ago.

Magufuli namjua asingeenda. Hivyo nchi isingefunguka. Tunashukuru sana....sasa angalau nasi tunapata wasaaa....
Inferiority complex inasumbua vichwa vya sisi waafrika. Tunahisi kuonewa na kunyanyaswa na kila mtu. Pole za dhati zinatuhusu.
 
Nafarijika sana napomuona rais wangu samia anajichanganya. Anafungua nchi sana aisee .. . Nimemwona kwenye mwendokasi la huko England akienda msibani kwa Malikia Elizabeth. Afadhali Malkia kafa kipindi hiki. Ingekuwa miaka miwili ago.

Magufuli namjua asingeenda. Hivyo nchi isingefunguka. Tunashukuru sana....sasa angalau nasi tunapata wasaaa....

IMG_0568.jpg
 
Back
Top Bottom