Afadhali huu Msiba wa Malkia Elizabeth umemkuta Rais Samia. Dkt. Magufuli ninavyomjua asingeenda. mama kafungua nchi

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Nafarijika sana napomuona Rais wangu samia anajichanganya. Anafungua nchi sana aisee...

Nimemwona kwenye mwendokasi la huko England akienda msibani kwa Malkia Elizabeth. Afadhali Malkia kafa kipindi hiki. Ingekuwa miaka miwili ago.

Magufuli namjua asingeenda. Hivyo nchi isingefunguka. Tunashukuru sana....sasa angalau nasi tunapata wasaaa....
 
Lugha ilimpiga chenga yule mwendazake. Angejiaibisha tuu huko.
 
Kwamba tungepungukiwa nini sasa?

Rais anaenda kupandishwa daladala.
 
Inferiority complex inasumbua vichwa vya sisi waafrika. Tunahisi kuonewa na kunyanyaswa na kila mtu. Pole za dhati zinatuhusu.
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…