Bulelaa
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 1,342
- 3,247
Naombea iwe ndoto tu tena ya mchana isiyokuwa na uhalisia wowote
Ndoto hii naikemea kwa nguvu zote, maana! Mmh! Iwapo itakuwa kweli mbona itakuwa mwisho wa nchi hii kuwa na matumaini yoyote ya walala hoi siku moja kuondokana na ulala hoi wao..!
Ndoto niliyoletewa iko hivi..!
2025! Makamu wa Rais atakuwa January Makamba, na waziri wa mambo ya nje atakuwa mtoto wa Rais mstaafu
Wakati nikiwa kwenye ndoto, sielewi hapa nitaelezaje, maana ni kama sikuipata picha kamili ya namna Makamba atakavyojikuta amekuwa Rais kamili hata kabla ya 2030!
Naombea hii ndoto isiwe kweli kwa sababu katika Taifa hili, kuna watu ni bora wabaki wa kubebwa tu na siyo kufikia ngazi ya Urais kamili