Pre GE2025 Afadhali Ibaki kuwa ndoto tu na isiwe kweli! 2025, January Makamba kuwa Makamu wa Rais, hatimaye kuwa Rais?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuanzia 2015, Tanzania ni nchi ambayo mtu yeyote anaweza kuwa Raisi hata kama ni "popoma".
Succession plan na vetting ya urausi iliisha 2015. Hivyo boya yeyeto anaweza kuwa Raisi bongo hii kukubwa maboya wenzie "waliopo sasa" hivi wamkubali atalinda maslahi yao. Kwa iyo huyu dogo muiba mitihani Galanos anaweza kuwa raisi kwenye nchi hii ya mapopoma msimbeze. 😁
Inasikitisha sana mkuu
 
Naombea iwe ndoto tu tena ya mchana isiyokuwa na uhalisia wowote

Ndoto hii naikemea kwa nguvu zote, maana! Mmh! Iwapo itakuwa kweli mbona itakuwa mwisho wa nchi hii kuwa na matumaini yoyote ya walala hoi siku moja kuondokana na ulala hoi wao..!

Ndoto niliyoletewa iko hivi..!

2025! Makamu wa Rais atakuwa January Makamba, na waziri wa mambo ya nje atakuwa mtoto wa Rais mstaafu

Wakati nikiwa kwenye ndoto, sielewi hapa nitaelezaje, maana ni kama sikuipata picha kamili ya namna Makamba atakavyojikuta amekuwa Rais kamili hata kabla ya 2030!

Naombea hii ndoto isiwe kweli kwa sababu katika Taifa hili, kuna watu ni bora wabaki wa kubebwa tu na siyo kufikia ngazi ya Urais kamili
NCHI YA KUSADIKIKA YOTE YANAWEZEKANA
 
Cheo cha Makamu hakina issue sn
 
kwanza kabisa, hilo tunamwachia Mungu, hata magufuli alitabiriwa na kuimbiwa nyimbo atawale hadi 2030. na yeye alikuwa ameshaanza kujiandaa kuwa hivyo. kwahiyo na huyo maza msimchulie, mwacheni tafadhali.

tukija kwenye urais, ashinde au asishinde, 2030 anatakiwa Rais MKRISTO tena anayetoka bara. lazima pawepo pa kupokezana.
 
Naombea iwe ndoto tu tena ya mchana isiyokuwa na uhalisia wowote

Ndoto hii naikemea kwa nguvu zote, maana! Mmh! Iwapo itakuwa kweli mbona itakuwa mwisho wa nchi hii kuwa na matumaini yoyote ya walala hoi siku moja kuondokana na ulala hoi wao..!

Ndoto niliyoletewa iko hivi..!

2025! Makamu wa Rais atakuwa January Makamba, na waziri wa mambo ya nje atakuwa mtoto wa Rais mstaafu

Wakati nikiwa kwenye ndoto, sielewi hapa nitaelezaje, maana ni kama sikuipata picha kamili ya namna Makamba atakavyojikuta amekuwa Rais kamili hata kabla ya 2030!

Naombea hii ndoto isiwe kweli kwa sababu katika Taifa hili, kuna watu ni bora wabaki wa kubebwa tu na siyo kufikia ngazi ya Urais kamili
2025 Josephat Gwajima anachukua nchi kupitia upinzani maana ndani ya CCM ataletewa figisu lakini ataungwa mkono na viongozi wa CCM na vyama vya upinzani na taasisi zote za dini,Samia atashindwa kwa aibu kubwa.Ndivyo mimi nilivyoona katika Ulimwengu wa roho.
Pia Kenya na Uganda Kuna Mapinduzi yanakuja,wataondolewa madarakani viongozi wakuu wa hizo nchi!
 
Naombea iwe ndoto tu tena ya mchana isiyokuwa na uhalisia wowote

Ndoto hii naikemea kwa nguvu zote, maana! Mmh! Iwapo itakuwa kweli mbona itakuwa mwisho wa nchi hii kuwa na matumaini yoyote ya walala hoi siku moja kuondokana na ulala hoi wao..!

Ndoto niliyoletewa iko hivi..!

2025! Makamu wa Rais atakuwa January Makamba, na waziri wa mambo ya nje atakuwa mtoto wa Rais mstaafu

Wakati nikiwa kwenye ndoto, sielewi hapa nitaelezaje, maana ni kama sikuipata picha kamili ya namna Makamba atakavyojikuta amekuwa Rais kamili hata kabla ya 2030!

Naombea hii ndoto isiwe kweli kwa sababu katika Taifa hili, kuna watu ni bora wabaki wa kubebwa tu na siyo kufikia ngazi ya Urais kamili
Ya kesho hujayajuwa unataka kuleta porojo za 2025?

Mawazo ya kijinga hayo.
 
Mtu Fulani aliwah sema, Katiba yetu inatoa Room Kwa Makamo wa Rais Mchawi kumuua Rais ili yeye awe Rais.

Kiuhalisia ndoto yako hii unaweza kua Umeitoa kwenye Meza nyeti kabisa , na umeileta hapa ili Tuisemee na tubomoe mpango huo.

Ukweli ni Kua, J.Makamba, Anataka Urais japo Urais haumtaki, Kijana huyu yupo Radhi kufanya lolote ili mradi tu awe Rais.

Kwa kua ameshajua Nchi haimtaki, Huenda Njia pekee ilobaki, ni Hawa Timu Msoga ambao Sasa ndio waloishika CCM, wajifanye kumchomeka Makamba kwenye Umakamo wa Urais.

Na Ama ( japo Sina uhakika kama Samia atagombea ) Samia akiwa na Makamba , Samia ambaye ni Timu Msoga, anaweza kusingizia matatizo ya kiafya kua yanamfanya ashindwe kutimiza majukumu ya Urais, hivo kumuachia Kijana wake Makamba kua Rais.

Au basi Vijana wa hovyo wachawi kutumia Room ya Katiba kuhakikisha Kijana wao anauchota Urais kama ilivyo Kwa JPM March 17.

Hata Hivo , itakua ni NEGLIGENCE, INCOMPETENCE na INSUBORDINATION ya Kiwango Cha juuu sana Kwa Taasisi zetu za Ulinzi na Usalama wakiwemo TISS, KURUHUSU CCM KUMCHAGUA MAKAMBA KUA MAKAMO WA RAIS AU RAIS.

MAKAMBA HAFAI KUA HATA MJUMBE WA NYUMBA KUMI.
TISS hao wenye nguvu hiyo ni wa wapi?! wa hapa Tanzania au?!

Huwa naumia sana wanapokuwa wanamezea na kukalia kimya mambo ambayo yanatuumiza sisi wanyonge... Ila sawa! Ngoja tujitafute tukawe cheap labours huko duniani inapoonekana thamani ya mwanadamu ingawa sisi ni waafrika.

Mwenyezi mungu anaona na atatulipia.
 
Kama waliweza kwa buldoza wakaja dodo watashindwa kwa s100??? Nchi inahitaji tuswali sana ili haya magenge ya kugombania urais wafe wote ili wabaki wenye nia ya kuleta maendeleo. Kilichopo sasa bashe anataka urais, makamba anataka urais, mwigulu hivyo hivyo so unategemea nini??? Na bado wazee nao wanauchungulia urais
Bashe anaweza na anapendeza kuwa Presides ila sio hao wengine
 
Back
Top Bottom