Pre GE2025 Afadhali Ibaki kuwa ndoto tu na isiwe kweli! 2025, January Makamba kuwa Makamu wa Rais, hatimaye kuwa Rais?

Pre GE2025 Afadhali Ibaki kuwa ndoto tu na isiwe kweli! 2025, January Makamba kuwa Makamu wa Rais, hatimaye kuwa Rais?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuna ndoto za Mungu na ndoto za shetani, ndoto za Mungu ni maono na sio za kupuuzwa hata kidogo!.

Hili sikuwahi kulisikia popote!.

Hivi ndivyo mambo ya Mungu yanavyokuwaga!, hata Samia hakujua, alijikuta tuu amekuwa, sisi wa jicho la tatu, tunaiangazia sana ndoto yako hii na kui scrutunize kama ni ndoto ya Mungu au ni ya shetani. Kama ni ya Mungu, tutamshauri ..., 2025 itoshe, kama ni ndoto ya shetani, tutamshauri kuendelea na mpango wake mbele kwa mbele.
Kitu kama hiki hata mimi nilielezwa, ila mimi sikuelezwa kwenye ndoto, mimi nilielezwa kwenye sauti HII na nikashauri!

Anayepanga nani awe rais wetu sio wewe, sio yeye, bali ni YEYE, ndiye anayepanga marais wa nchi na serikali za mataifa, jivyo ndoto yako ni ya Mungu, huwezi kuzuia alilolipanga YEYE, , ili natofautiana wewe kuhusu huyu dogo!. January Makamba, very intelligent, humble, down-to-earth! Can make the best President na hapa January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in Tanzania!
JM ni Presidential Materiale ya ukwee..., yuko kama Barack Obama.

P
Kumbe mzee Mayala we nae chawa eeh?!
 
akili zake na umakini wake ndio ulimtuma akwibe mitiani?

Una uhakika gani au ushahidi kwamba mheshimiwa January Makamba alikwiba au alishiriki kwenye wizi huo wa mitihani?

Ujue maswala ya elimu nayo sometimes ni usechu!... Unajisomea zako huko unapigika alafu bwege anakuja kutoa paper kivingine..., ukifeli ni frustration na heartbreaking! Na ndio maana watu wakishatoboaga kufika mbali kimaisha..., kama kuwa viongozi na matajiri huwaga hawawakumbuki hawa waalimu kutokana na miyeyusho yao, unyanyasaji, kukatisha vijana tamaa na kuwazodoa... 😂👍
 
kwanza kabisa, hilo tunamwachia Mungu, hata magufuli alitabiriwa na kuimbiwa nyimbo atawale hadi 2030. na yeye alikuwa ameshaanza kujiandaa kuwa hivyo. kwahiyo na huyo maza msimchulie, mwacheni tafadhali.

tukija kwenye urais, ashinde au asishinde, 2030 anatakiwa Rais MKRISTO tena anayetoka bara. lazima pawepo pa kupokezana.
Namuona mbali sana mzee wangu makini sana Mheshimiwa Simbachawene
 
Mi naamini Urais ni zali, hawa wanaousaka kwa nguvu hadi kuchora mawe na kugawa mitungi ya gesi kamwe hawatauona urais! Rasilimali wanazopoteza kutengeneza mazingira ya urais ni bora wangejenga misikiti au makanisa au kununua mabasi na kujaza timu za mpira ligi kuu.

Ukipiga hesabu za Chama unaona Rais ni Maza Sa100 , kwa vipindi viwili vya urais na makamu wake kiitifaki anakuwa mkristo maana hii nchi sio Iran, Hezbollah au Saudi Arabia.

Bimkubwa vasco da Gama akimaliza urais mwaka 2031.5 na kufikisha SGR Mwanza na Kigoma atarudi kizimkazi na kumuachia urais mkristo ambae ataongoza bongo hadi mwaka 2041.5!

Kiukweli binafsi siioni nafasi ya urais kwa ndugu Kipara Maropu!! Labda akagombee mwaka 2042 ambapo atakuwa mzee aliechoka kupigania kuwa rais bila mafanikio, allahu aalam!!

Mama anaupiga mwingi, Mama ameweza, mitano tena tafadhali.
Uchaguzi ni 2030 hiyo 2031.5 umeitoa wapi?
 
Jamaa yupo kimya kama hayupo yaani utadhani hiki cheo chake ni part time work.
Ile kauli ya mkuu wa Majeshi kuhusu viongozi wa ambao wapo kwenye ngazi za juu na wenye kutoa maamzi ya nchi, unaikumbuka chief

Hivi ilipatiwa majibu kweli..?
 
Back
Top Bottom