Pre GE2025 Afadhali Ibaki kuwa ndoto tu na isiwe kweli! 2025, January Makamba kuwa Makamu wa Rais, hatimaye kuwa Rais?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Inasikitisha sana mkuu
 
NCHI YA KUSADIKIKA YOTE YANAWEZEKANA
 
Cheo cha Makamu hakina issue sn
 
kwanza kabisa, hilo tunamwachia Mungu, hata magufuli alitabiriwa na kuimbiwa nyimbo atawale hadi 2030. na yeye alikuwa ameshaanza kujiandaa kuwa hivyo. kwahiyo na huyo maza msimchulie, mwacheni tafadhali.

tukija kwenye urais, ashinde au asishinde, 2030 anatakiwa Rais MKRISTO tena anayetoka bara. lazima pawepo pa kupokezana.
 
2025 Josephat Gwajima anachukua nchi kupitia upinzani maana ndani ya CCM ataletewa figisu lakini ataungwa mkono na viongozi wa CCM na vyama vya upinzani na taasisi zote za dini,Samia atashindwa kwa aibu kubwa.Ndivyo mimi nilivyoona katika Ulimwengu wa roho.
Pia Kenya na Uganda Kuna Mapinduzi yanakuja,wataondolewa madarakani viongozi wakuu wa hizo nchi!
 
Ya kesho hujayajuwa unataka kuleta porojo za 2025?

Mawazo ya kijinga hayo.
 
TISS hao wenye nguvu hiyo ni wa wapi?! wa hapa Tanzania au?!

Huwa naumia sana wanapokuwa wanamezea na kukalia kimya mambo ambayo yanatuumiza sisi wanyonge... Ila sawa! Ngoja tujitafute tukawe cheap labours huko duniani inapoonekana thamani ya mwanadamu ingawa sisi ni waafrika.

Mwenyezi mungu anaona na atatulipia.
 
Bashe anaweza na anapendeza kuwa Presides ila sio hao wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…