Pre GE2025 Afadhali Ibaki kuwa ndoto tu na isiwe kweli! 2025, January Makamba kuwa Makamu wa Rais, hatimaye kuwa Rais?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kumbe mzee Mayala we nae chawa eeh?!
 
Una uhakika gani au ushahidi kwamba mheshimiwa January Makamba alikwiba au alishiriki kwenye wizi huo wa mitihani?

Ujue maswala ya elimu nayo sometimes ni usechu!... Unajisomea zako huko unapigika alafu bwege anakuja kutoa paper kivingine..., ukifeli ni frustration na heartbreaking! Na ndio maana watu wakishatoboaga kufika mbali kimaisha..., kama kuwa viongozi na matajiri huwaga hawawakumbuki hawa waalimu kutokana na miyeyusho yao, unyanyasaji, kukatisha vijana tamaa na kuwazodoa... 😂👍
 
Namuona mbali sana mzee wangu makini sana Mheshimiwa Simbachawene
 
Uchaguzi ni 2030 hiyo 2031.5 umeitoa wapi?
 
Jamaa yupo kimya kama hayupo yaani utadhani hiki cheo chake ni part time work.
Ile kauli ya mkuu wa Majeshi kuhusu viongozi wa ambao wapo kwenye ngazi za juu na wenye kutoa maamzi ya nchi, unaikumbuka chief

Hivi ilipatiwa majibu kweli..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…