Afadhali Katiba ya Tanzania Kuliko Ya Kenya

We jamaa wewe we kaka!!!
Kimekuja kutoka wapi???
Sehem gani ilikua inazungumza kiswahili kabla ya Tanzania ???
Unajua maana ya kitu kuja???
Kiswahili kimechagizwa na asilimia 55 ya misamiati ya kibantu.
Asilima kama 25 ni kiarabu kimechagiza asilimia zilizobaki ni lugha zingine zimechagiza.

 
Hamna current news za mauaji ya albino.
Hilo halijalishi yani waniletea habari za miaka miwili iliyopita hauko siriasi wewe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Yani unairuka tena kauli yako ya kutoka 2016
 
Kwn kilikuwepo...
Kiswahili ni lugha iliyochimbuka tu, wala hakina mwenywe, hakina tofauti na uchothara tu...
Njoo mombasa siku moja nikuonyeshe hao waswahili huaga wanakaaje, kwanza tanzania kuna waswahili kweli?
 
Katiba ya Kenya inaruhusu ufisadi wa kutisha. Na mkuu wa nchi awezi kuchukua hatua, Kama JPM.
 
Kwn kilikuwepo...
Kiswahili ni lugha iliyochimbuka tu, wala hakina mwenywe, hakina tofauti na uchothara tu...
Njoo mombasa siku moja nikuonyeshe hao waswahili huaga wanakaaje, kwanza tanzania kuna waswahili kweli?
Hujui ht historia ya kiswahili.
Eti kimechimbuka tu!
Kimechimbukia wap bro km mti wa magugu maji au??
Kibantu ndio kimetawala misamiati ya kiswahili sijui umeelewa?
Bro hyo statement yote hujaelewa?
Waswahili Tanzania wapo kwasababu ndipo chimbuko lake.
Pwan zake Tz ndio chimbuko halisi la kiswahili kwingine kunafuata.
 
Heheeee!! Tanganyika waswahili uwapate wapi..landa zenji
 
Wajua kingozi maana yake nn kwanza...
Kiswahili kilikua kikiitwa kingozi, zama zile wa bantu wa pwani ya kenya ndio ilikua wanaongea kingozi, mpla muarabu kuja na kufanya intermarriage kidogo lugha ikachipuka..we hunifundishi chochote..

Nilijua tu poin yako utaitaja tanzania[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[/URL] Pokomo language
Pokomo ( Kipfokomo ) is a Bantu language spoken primarily along the East African coast near Tana River in the Tana River District by the
Pokomo people of Kenya . Kipfokomo language originated from "Kingozi" the language, which Kiswahili was built from. "Kingozi" language is the precursor of Kiswahili. Pokomos are the only tribe in the world that speak "Kingozi" and sometimes are referred to as wangozi because they used to wear skins (Ngozi). All adult speakers of Pokomo are bilingual in Swahili, East Africa's lingua franca.
There is high of lexical similarity between other languages like Mvita (63%), Amu (61%), Mrima (60%), Kigiryama (59%), Chidigo (58%) or Bajun (57%).
References
1. ^ Pokomo at Ethnologue (18th ed., 2015)
2. ^ Hammarström, Harald; Forkel, Robert; Haspelmath, Martin, eds. (2017).
"Pokomo" . Glottolog 3.0 . Jena, Germany: Max Planck Institute for the Science of Human History.
3. ^ Jouni Filip Maho, 2009. New Updated Guthrie List Online Pokomo
Kipfokomo
Native to Kenya
Region Tana River District
Native speakers 95,000 (2009 census) [1]
Language family Niger–Congo
Atlantic–Congo
Benue–Congo
Bantoid
Bantu
Northeast Coast Bantu
Sabaki
Pokomo
Language codes
ISO 639-3 pkb
Glottolog poko1261 [2]
Guthrie code E.71 [3]
 
Mzee unajidanganya.
Hakuna kingozi dunia hii hakitambuliki.

ASILI YA KISWAHILI
Yako maneno mawili ambayo tunayochanganya katika matumizi nayo ni asili ya lugha ya Kiswahili na chimbuko lake. Neno asili lina maana ya jinsi jambo lilivyoanza au lilivyotokea. Ama kwa neno chimbuko, maana yake ni mahali kitu au jambo lilipoanza. Kwa hiyo asili na chimbuko yanatofautiana katika maana.
Zimewahi kutokea nadharia kadhaa kuhusu asili ya Kiswahili ambazo nitazieleza hivi punde. Kwanza ipo nadharia kuwa Kiswahili kimetokana na lugha ya Kiarabu. Pili iko nadharia kuwa Kiswahili ni mchanganyiko wa Kiarabu na lugha za Kibantu zilizotumika katika upwa wa Afrika Mashariki. Tatu, ni kuwa Kiswahili ni lugha ya Kibantu iliyoathiriwa sana na Kiarabu hasa kimsamiati. Nne, Kiswahili kilitokana na mchanganyiko wa lugha kadhaa za Kibantu zilizokuwa katika upwa wa Afrika Mashariki.

HIKO KINGOZI UMEKITOLEA WAPI??
ACHA MAMBO YA PAUKA PAKAWA BABA LA BABA.
AYA NIONESHE KINGOZI AMA KISKIN CHAKO.

 
Unajua maana ya kibantu mazeh?



Ramani hii inaonyesha enezi la lugha za Kibantu (rangi ya machungwa) kulingana na lugha nyingine za Niger-Congo (rangi ya manjano).
Lugha za Kibantu ni kundi la lugha ambalo ni tawi la lugha za Niger-Kongo .
Lugha za Kibantu huzungumzwa hasa katika nchi za
Nigeria, Kamerun, Guinea ya Ikweta, Gabon , Jamhuri ya Kongo, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo , Rwanda , Burundi ,
Uganda , Kenya, Tanzania , Komori , Msumbiji, Malawi, Zambia,
Zimbabwe, Angola, Namibia , Botswana , Lesotho , Swaziland na Afrika ya Kusini .
Uenezi huo unaonyesha kwamba kundi la lugha za Kibantu ni kubwa kabisa barani Afrika, na idadi ya wanaozitumia ni takriban watu milioni 310.
Neno Bantu, maana yake ni watu katika lugha nyingi za kundi hilo. Shina lake ni -ntu , na kiambishi awali cha ba- kinaonyesha uwingi wa viumbehai . Kwa sababu hiyo,
mtaalamu Wilhelm Heinrich Immanuel Bleek (aliyeishi tangu mwaka 1827 hadi 1875 ) alitumia neno hilo kwa kurejea kundi la lugha hizo. Bleek alilinganisha sarufi za lugha mbalimbali za Kibantu, na baadaye Carl Meinhof alimfuata katika utafiti huo.
Kuna mamia ya lugha za Kibantu; wataalamu wengine wanahesabu 300, wengine wanahesabu 600. Mtaalamu
Malcolm Guthrie aliziainisha kulingana na maeneo ya kijiografia . Kila eneo limepata herufi yake — A, B, C, D, E, F, G, H, K, L, M, N, P, R na S — na ndani ya kila eneo kuna
tarakimu tena. Pia, Guthrie alichunguza lugha ya nasaba ambayo ni chanzo cha lugha zote za Kibantu.
 
Naona umeamua kuja kivingine baada ya kukuletea kingozi
 
Hivi umebadilisha gear tena km kimetoka na wabantu wa east africa wala si wa kutoka tanzania tena..mbna unajitesa hv
 
Ile siku utakutana na wapokomo halafu uwasikie wakiongea...ndugu nakuhakikishis utaelewa karibia 90% ya maneno km wewe unakijua kiswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…