Unajua maana ya kibantu mazeh?
Ramani hii inaonyesha enezi la lugha za Kibantu (rangi ya machungwa) kulingana na lugha nyingine za Niger-Congo (rangi ya manjano).
Lugha za Kibantu ni kundi la lugha ambalo ni tawi la lugha za Niger-Kongo .
Lugha za Kibantu huzungumzwa hasa katika nchi za
Nigeria, Kamerun, Guinea ya Ikweta, Gabon , Jamhuri ya Kongo, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo , Rwanda , Burundi ,
Uganda , Kenya, Tanzania , Komori , Msumbiji, Malawi, Zambia,
Zimbabwe, Angola, Namibia , Botswana , Lesotho , Swaziland na Afrika ya Kusini .
Uenezi huo unaonyesha kwamba kundi la lugha za Kibantu ni kubwa kabisa barani Afrika, na idadi ya wanaozitumia ni takriban watu milioni 310.
Neno Bantu, maana yake ni watu katika lugha nyingi za kundi hilo. Shina lake ni -ntu , na kiambishi awali cha ba- kinaonyesha uwingi wa viumbehai . Kwa sababu hiyo,
mtaalamu Wilhelm Heinrich Immanuel Bleek (aliyeishi tangu mwaka 1827 hadi 1875 ) alitumia neno hilo kwa kurejea kundi la lugha hizo. Bleek alilinganisha sarufi za lugha mbalimbali za Kibantu, na baadaye Carl Meinhof alimfuata katika utafiti huo.
Kuna mamia ya lugha za Kibantu; wataalamu wengine wanahesabu 300, wengine wanahesabu 600. Mtaalamu
Malcolm Guthrie aliziainisha kulingana na maeneo ya kijiografia . Kila eneo limepata herufi yake — A, B, C, D, E, F, G, H, K, L, M, N, P, R na S — na ndani ya kila eneo kuna
tarakimu tena. Pia, Guthrie alichunguza lugha ya nasaba ambayo ni chanzo cha lugha zote za Kibantu.
[/URL]
Pokomo language
Pokomo ( Kipfokomo ) is a Bantu language spoken primarily along the East African coast near Tana River in the Tana River District by the
Pokomo people of Kenya . Kipfokomo language originated from "Kingozi" the language, which Kiswahili was built from. "Kingozi" language is the precursor of Kiswahili. Pokomos are the only tribe in the world that speak "Kingozi" and sometimes are referred to as wangozi because they used to wear skins (Ngozi). All adult speakers of Pokomo are bilingual in Swahili, East Africa's lingua franca.
There is high of lexical similarity between other languages like Mvita (63%), Amu (61%), Mrima (60%), Kigiryama (59%), Chidigo (58%) or Bajun (57%).
References
1. ^ Pokomo at Ethnologue (18th ed., 2015)
2. ^ Hammarström, Harald; Forkel, Robert; Haspelmath, Martin, eds. (2017).
"Pokomo" . Glottolog 3.0 . Jena, Germany: Max Planck Institute for the Science of Human History.
3. ^ Jouni Filip Maho, 2009. New Updated Guthrie List Online Pokomo
Kipfokomo
Native to Kenya
Region Tana River District
Native speakers 95,000 (2009 census) [1]
Language family Niger–Congo
Atlantic–Congo
Benue–Congo
Bantoid
Bantu
Northeast Coast Bantu
Sabaki
Pokomo
Language codes
ISO 639-3 pkb
Glottolog poko1261 [2]
Guthrie code E.71 [3]