The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Kama umemuonea wivu kwa matamanio yake na kwa mtazamo wake basi wewe usifuate mtazamo wake,kaolewe na hao wengine,kwani kakukazimisha? Naona umetokwa povu kama mjane aliye dhulumiwa mali za marehemu mumewe.Sasa da gulo (Dada glory) hapa ndo umeharisha ushuzi gani?
Kwa ushahidi upi? Tutakuaminije kua hayo usemayo ni kweli? Ni ID gani na ngapi za aina hiyo ambazo umezigundua kua ni za kiume mpaka leo hii?Hizi IDs zenye 'Da' fulani mara nyingi wamiliki wake ni wa kiume
Huna akilNI kutokana na SABABU zifuatazo
(1)Wanaheshimu Sana wake zao,na wanahudumia vizuri Sana.
(2)Wanaheshimu Sana dini ndo maana hata wakati wa Ramadhan Mambo mengi katika maisha hayaendi.mfano migahawa hufungwa baadhi,madukani ndo hivyooo,n.k
(3)Ni wasafi sana(hawawezi kujisaidia haja ndogo bila maji) hata wa mioyo ndo Mana Matajiri WENGI. Hata zinaa Ni kwa wachache kwa kuwa wanaruhusiwa kuoa wake 4. Hi husaidia kutopata nuksi,mikosi na mabalaa na hufanikiwa Sana kwenye shughuli zao
(4)Sio walevi kivile, na pia sio wa kufungua midomo hovyo hovyo kueleza mipango yao.
NB:AFADHALI KUOLEWA UKIJUA KUNA WENZIO WENGINE 3 KULIKO KUOLEWA KUJUA UKO PEKE YAKO KUMBE KUNA VINCHENCHEBE 30 NJE
km ww sio single maza, nipigwe banNI kutokana na SABABU zifuatazo
(1)Wanaheshimu Sana wake zao,na wanahudumia vizuri Sana.
(2)Wanaheshimu Sana dini ndo maana hata wakati wa Ramadhan Mambo mengi katika maisha hayaendi.mfano migahawa hufungwa baadhi,madukani ndo hivyooo,n.k
(3)Ni wasafi sana(hawawezi kujisaidia haja ndogo bila maji) hata wa mioyo ndo Mana Matajiri WENGI. Hata zinaa Ni kwa wachache kwa kuwa wanaruhusiwa kuoa wake 4. Hi husaidia kutopata nuksi,mikosi na mabalaa na hufanikiwa Sana kwenye shughuli zao
(4)Sio walevi kivile, na pia sio wa kufungua midomo hovyo hovyo kueleza mipango yao.
NB:AFADHALI KUOLEWA UKIJUA KUNA WENZIO WENGINE 3 KULIKO KUOLEWA KUJUA UKO PEKE YAKO KUMBE KUNA VINCHENCHEBE 30 NJE
Da gulo bana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Da Gulo kachangwanywa na pilau la leo na jamaa atakuwa kamnywea alkasus leo da gulo anasilimishwa
haswaaaMwacheni, limemkuta jambo. Anatafuta relief, na pengine ni dongo kwa mtu aliye mlenga. Hisia za wadada unaweza kuzijua hata kupitia whatsapp status
NI kutokana na SABABU zifuatazo
(1)Wanaheshimu Sana wake zao,na wanahudumia vizuri Sana.
(2)Wanaheshimu Sana dini ndo maana hata wakati wa Ramadhan Mambo mengi katika maisha hayaendi.mfano migahawa hufungwa baadhi,madukani ndo hivyooo,n.k
(3)Ni wasafi sana(hawawezi kujisaidia haja ndogo bila maji) hata wa mioyo ndo Mana Matajiri WENGI. Hata zinaa Ni kwa wachache kwa kuwa wanaruhusiwa kuoa wake 4. Hi husaidia kutopata nuksi,mikosi na mabalaa na hufanikiwa Sana kwenye shughuli zao
(4)Sio walevi kivile, na pia sio wa kufungua midomo hovyo hovyo kueleza mipango yao.
NB:AFADHALI KUOLEWA UKIJUA KUNA WENZIO WENGINE 3 KULIKO KUOLEWA KUJUA UKO PEKE YAKO KUMBE KUNA VINCHENCHEBE 30 NJE
Kumbe! Inawezekana Da gulo ni mzagamuaji etiHizi IDs zenye 'Da' fulani mara nyingi wamiliki wake ni wa kiume
Tuache kwanza kiongozi 😁