Afadhali niendelee kuitwa Mzee kuliko kuvaa nguo zisizo na staha

Hizi fasheni zingine Wacha zipite!Maana hazina usafi sana,nakumbuka enzi za suruari za Malinda mtu anakunyooshea kama kisu mkuu,panga zimenyooka balaa.
Vipi kuhusu wanaume kuvaa vibukta vifupi mapaja yote nje, hii fashion nayo imekaa vibaya sana
 
Tumbo likikuchenjia huna jinsi hata mkojo pia!Vibkta vya kushindia chumbani vijana wamegeuza mtoko km 80!
Alafu ukikataa kuvaa wanasema unapitwa na wakati, heri kupitwa na wakati kuliko kutembea ukiwa umevaa hizo nguo
 
Nina fundi cherehani mzuri sana migo migo ni PM nikupatie contact zake mzee mwenzangu.

Yaani unavaa suruali hadi kutembea ni shida, shati ukishiba linataka kifumuka vifungo
 
Alafu ukikataa kuvaa wanasema unapitwa na wakati, heri kupitwa na wakati kuliko kutembea ukiwa umevaa hizo nguo
Vibukta ukisimamisha kitu kila mtu anakuchora,visuruali vya kubana ukinyeshewa na mvua,kuvua kwa kuvutwa kama nyavu za samaki baharini!Tabu yote ya nini?
 
Nina fundi chelehani mzuri sana migo migo ni PM nikupatie contact zake mzee mwenzangu.

Yaani unavaa suruali hadi kutembea ni shida, shati ukishiba linataka kifumuka vifungo
Mbaya zaidi hawafanyi vijana mazoezi vitumbo vinawatoka kama vile ni jamii ya Chatu MLA watu.!
 
Nina fundi chelehani mzuri sana migo migo ni PM nikupatie contact zake mzee mwenzangu.

Yaani unavaa suruali hadi kutembea ni shida, shati ukishiba linataka kifumuka vifungo
Huyo fundi inaonekana yupo vyema, lakini sasa kwanini ashone nguo za kubana sana?
 
Vibukta ukisimamisha kitu kila mtu anakuchora,visuruali vya kubana ukinyeshewa na mvua,kuvua kwa kuvutwa kama nyavu za samaki baharini!Tabu yote ya nini?
Naonaga chini wanaweka zipu, ili wapate urahisi kuvua lakini bado yote hayo ni mateso yasiyo na faida
 
Wanakutakia kheri mkuu maana kwa pirikapirika za kutafuta maisha ukifikisha 50 unashukuru Mungu ,wengi wanakata moto 25 to 45.
 
Mbona ivo ndio Hata mimi ndio mitupio yangu siwezi kuvaa Kisuruali kinachobana mapaja au Suruali bwanga na Yebo yebo kubwaa asee hapana.
Izo Salamu zisikutishe Especialy kutoka kwa Mademu maana ni watoto ila Miili na matiti yao ni makubwa kutokana na mavyakula wanayokua na kuzaa mapema hata mimi nilikuwa nashangaa huyu Mmama ananisalimia ila baada ya utafiti wangu nikagundua ni watoto wa 2002 kuja juu.
 
Sahihi Mkuu, saivi siwezi ku mind au kushangazwa na hizo salamu zao, ila naelewa huenda labda ni heshima tu wanayo nipa.
 
Ni heri niitwe mzee lakini sio niitwe barobaro au bishoo
sio bishoo ww mnyasa tuH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…