Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
- #41
Nimekuelewa vyema, itabidi niendelee kusonga mbele tu.Poa ila jikubali, focus na mambo yako tu
Kinachosababisha uonekane hivyo ni mindset yako iko imepoa sana itakuwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuelewa vyema, itabidi niendelee kusonga mbele tu.Poa ila jikubali, focus na mambo yako tu
Kinachosababisha uonekane hivyo ni mindset yako iko imepoa sana itakuwa
Mkuu kama umemaanisha huyo ni mimi basi naomba uniombe radhi ☹️😂Mbona muonekano wako unakupendezaView attachment 3074203
Vipi kuhusu wanaume kuvaa vibukta vifupi mapaja yote nje, hii fashion nayo imekaa vibaya sanaHizi fasheni zingine Wacha zipite!Maana hazina usafi sana,nakumbuka enzi za suruari za Malinda mtu anakunyooshea kama kisu mkuu,panga zimenyooka balaa.
Hiyo sio Lugha nzuri kuitumia kwa mwanaume mwenzakoLugha tu unalowa...je han'dala kichwa wazi?
Basi mwaaaaHiyo sio Lugha nzuri kuitumia kwa mwanaume mwenzako
Sio wewe mkuu ni Mimi🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu kama umemaanisha huyo ni mimi basi naomba uniombe radhi ☹️😂
Na wewe wataanza kukuita Babu mtaani 😂Sio wewe mkuu ni Mimi🤣🤣🤣🤣🤣
Tumbo likikuchenjia huna jinsi hata mkojo pia!Vibkta vya kushindia chumbani vijana wamegeuza mtoko km 80!Vipi kuhusu wanaume kuvaa vibukta vifupi mapaja yote nje, hii fashion nayo imekaa vibaya sana
Alafu ukikataa kuvaa wanasema unapitwa na wakati, heri kupitwa na wakati kuliko kutembea ukiwa umevaa hizo nguoTumbo likikuchenjia huna jinsi hata mkojo pia!Vibkta vya kushindia chumbani vijana wamegeuza mtoko km 80!
Vibukta ukisimamisha kitu kila mtu anakuchora,visuruali vya kubana ukinyeshewa na mvua,kuvua kwa kuvutwa kama nyavu za samaki baharini!Tabu yote ya nini?Alafu ukikataa kuvaa wanasema unapitwa na wakati, heri kupitwa na wakati kuliko kutembea ukiwa umevaa hizo nguo
🤣🤣🤣
Mbaya zaidi hawafanyi vijana mazoezi vitumbo vinawatoka kama vile ni jamii ya Chatu MLA watu.!Nina fundi chelehani mzuri sana migo migo ni PM nikupatie contact zake mzee mwenzangu.
Yaani unavaa suruali hadi kutembea ni shida, shati ukishiba linataka kifumuka vifungo
Huyo fundi inaonekana yupo vyema, lakini sasa kwanini ashone nguo za kubana sana?Nina fundi chelehani mzuri sana migo migo ni PM nikupatie contact zake mzee mwenzangu.
Yaani unavaa suruali hadi kutembea ni shida, shati ukishiba linataka kifumuka vifungo
Naonaga chini wanaweka zipu, ili wapate urahisi kuvua lakini bado yote hayo ni mateso yasiyo na faidaVibukta ukisimamisha kitu kila mtu anakuchora,visuruali vya kubana ukinyeshewa na mvua,kuvua kwa kuvutwa kama nyavu za samaki baharini!Tabu yote ya nini?
Habarini waungwana
Nimebadili mtindo wa mavazi lakini bado napewa salamu na wadogo zangu mtaani.
Uzi wangu wa kwanza hapa JF nilisema kwamba wengi wanakosea kutafsiri umri wangu mitaani, wanadhani nina umri mkubwa kumbe bado sijafika huko.
Nilipata maoni na wengi walinishauri nibadili style ya mavazi yangu, nilijaribu kufanya hivyo lakini sikuona matokeo yoyote.
Nimeshindwa kuvaa nguo za vijana wa mjini hasa jins za kubana, T shirt zenye picha ya 2 pac, vipensi vifupi mapaja yote nje, au zile suruali pana mithili ya kitambaa cha mashine ya kusaga unga.
Nimeamua kuendelea kuvaa kama mwazo tu, yaani simple shati na suruali ya kitambaa au cadet. Japo still naitwa mzee lakini sina budi kukubaliana na hali halisi.
Ni heri niitwe mzee lakini sio niitwe barobaro au bishoo.
Rejea: Watu wanadhani umri wangu ni mkubwa tofauti na umri wangu halisi, je sababu yaweza kuwa nini?
Kweli kabisa mkuu, muhimu ni kuzidi kumuomba Mungu atupe maisha marefu.Wanakutakia kheri mkuu maana kwa pirikapirika za kutafuta maisha ukifikisha 50 unashukuru Mungu ,wengi wanakata moto 25 to 45.
Mbona ivo ndio Hata mimi ndio mitupio yangu siwezi kuvaa Kisuruali kinachobana mapaja au Suruali bwanga na Yebo yebo kubwaa asee hapana.Habarini waungwana
Nimebadili mtindo wa mavazi lakini bado napewa salamu na wadogo zangu mtaani.
Uzi wangu wa kwanza hapa JF nilisema kwamba wengi wanakosea kutafsiri umri wangu mitaani, wanadhani nina umri mkubwa kumbe bado sijafika huko.
Nilipata maoni na wengi walinishauri nibadili style ya mavazi yangu, nilijaribu kufanya hivyo lakini sikuona matokeo yoyote.
Nimeshindwa kuvaa nguo za vijana wa mjini hasa jins za kubana, T shirt zenye picha ya 2 pac, vipensi vifupi mapaja yote nje, au zile suruali pana mithili ya kitambaa cha mashine ya kusaga unga.
Nimeamua kuendelea kuvaa kama mwazo tu, yaani simple shati na suruali ya kitambaa au cadet. Japo still naitwa mzee lakini sina budi kukubaliana na hali halisi.
Ni heri niitwe mzee lakini sio niitwe barobaro au bishoo.
Rejea: Watu wanadhani umri wangu ni mkubwa tofauti na umri wangu halisi, je sababu yaweza kuwa nini?
Sahihi Mkuu, saivi siwezi ku mind au kushangazwa na hizo salamu zao, ila naelewa huenda labda ni heshima tu wanayo nipa.Mbona ivo ndio Hata mimi ndio mitupio yangu siwezi kuvaa Kisuruali kinachobana mapaja au Suruali bwanga na Yebo yebo kubwaa asee hapana.
Izo Salamu zisikutishe Especialy kutoka kwa Mademu maana ni watoto ila Miili na matiti yao ni makubwa kutokana na mavyakula wanayokua na kuzaa mapema hata mimi nilikuwa nashangaa huyu Mmama ananisalimia ila baada ya utafiti wangu nikagundua ni watoto wa 2002 kuja juu.
Habarini waungwana
Nimebadili mtindo wa mavazi lakini bado napewa salamu na wadogo zangu mtaani.
Uzi wangu wa kwanza hapa JF nilisema kwamba wengi wanakosea kutafsiri umri wangu mitaani, wanadhani nina umri mkubwa kumbe bado sijafika huko.
Nilipata maoni na wengi walinishauri nibadili style ya mavazi yangu, nilijaribu kufanya hivyo lakini sikuona matokeo yoyote.
Nimeshindwa kuvaa nguo za vijana wa mjini hasa jins za kubana, T shirt zenye picha ya 2 pac, vipensi vifupi mapaja yote nje, au zile suruali pana mithili ya kitambaa cha mashine ya kusaga unga.
Nimeamua kuendelea kuvaa kama mwazo tu, yaani simple shati na suruali ya kitambaa au cadet. Japo still naitwa mzee lakini sina budi kukubaliana na hali halisi.
Ni heri niitwe mzee lakini sio niitwe barobaro au bishoo.
Rejea: Watu wanadhani umri wangu ni mkubwa tofauti na umri wangu halisi, je sababu yaweza kuw
sio bishoo ww mnyasa tuHNi heri niitwe mzee lakini sio niitwe barobaro au bishoo