Afadhali Rais Samia kaukwepa mtego wa kutangaza nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi. Hongera mama!

Watumishi mnashangaza mno.

Hivi hiyo mishahara inapanda kila mei mosi kwa kipato kipi??

Hivi ni nchi gani hapa Duniani ambapo kila mei mosi hotuba ya Rais ni kupandisha mishahara tu.
 
Kila mwaka mnaomba kupandishiwa mishahara, kwanini msijiongeze mjipandishe wenyewe muacheni na huu utumwa wa kisaikolojia?

Simply mpo kama ma jobless mlioajiriwa.
Tukijiajiri wote nani atafanya kazi hizi tunazofanya?
 
Kila mwaka mnaomba kupandishiwa mishahara, kwanini msijiongeze mjipandishe wenyewe muacheni na huu utumwa wa kisaikolojia?

Simply mpo kama ma jobless mlioajiriwa.
Motivational speakers bana.
 
Eti ana akili kuliko mtangulizi wake! hivi mada zenu huwa hazikamiliki bila kumsimanga jpm?
 
Hili la kila mwaka chama cha wafanyakazi kumpigia magoti rais kumuomba aongeze mishahara ya watumishi ni kielelezo tosha cha namna hicho chama kilivyo pandikizi la ccm.

Chama kinachoongozwa na makada wa ccm na watu wa usalama kamwe hakiwezi kupigania haki za wanachama wake ndio maana wanasubiri ifike May mosi ndio wampigie rais magoti.

Bure kabisa, nchi hii haina chama cha wafanyakazi ni matawi ya ccm tu.
 
Poverty mentality..unapewa incrimental ya mshahara.either kodi inaongezeka au wewe unapandisha matumizi yako maradufu..then baada ya miaka miwili unalia tena incremental iongezwe..the viscous cycle inajirudia tena..its not about the salary.its about you..
 
Watumishi mnashangaza mno.

Hivi hiyo mishahara inapanda kila mei mosi kwa kipato kipi??

Hivi ni nchi gani hapa Duniani ambapo kila mei mosi hotuba ya Rais ni kupandisha mishahara tu.
Njaa itakuua mwaka huu mbwa weee
 
Kila mwaka mnaomba kupandishiwa mishahara, kwanini msijiongeze mjipandishe wenyewe muacheni na huu utumwa wa kisaikolojia?

Simply mpo kama ma jobless mlioajiriwa.
Binafsi nimejiajiri kwenye kilimo ila MSHAHARA MKUBWA NI HAKI YANGU PIA.

Siwezi acha kuokota buku kisa Nina milioni mfukoni..!!!

#YNWA
 
Ha ha ha ha

Wivu unakusumbua.

Hapo ulipo utakuwa unahangika kila leo kuomba ajiran
Wivu nikuonee wewe unaeomba kuongezewa mshahara kila mwaka?

You must be kidding young lady, emancipate yourself from mental slavery, matokeo yake mnamuona Rais kama mungu wenu!.
 
Makengeza Mbowe ameshakufira mpaka akiki zimekuruka Kama kichaa mnywa mbege
Hii ndio dalili kuu ya omba omba; hasira, tukana tu angalau upate nafuu kisaikolojia, but ukumbuke mwisho wa siku utaendelea kuwa omba omba.
 
Ameogopa kwasababu aibu ya aibu udogo wa nyingeza ya mshahara wenyewe... [emoji23] [emoji23]
 
Watumishi mnashangaza mno.

Hivi hiyo mishahara inapanda kila mei mosi kwa kipato kipi??

Hivi ni nchi gani hapa Duniani ambapo kila mei mosi hotuba ya Rais ni kupandisha mishahara tu.

Msijali....

Side hustles tunazo na mishahara minono tunaitaka.

HATUWEZI acha kuokota buku kisa tunamilioni mfukoni.

Hela zoteee tunalamba.

Usiache fursa ya ubwabwa ipite kisa umeshiba.
Kilichookotwa kitawekwa kwenye friji kwa matumizi ya kesho..!!!

#YNWA
 
Binafsi nimejiajiri kwenye kilimo ila MSHAHARA MKUBWA NI HAKI YANGU PIA.

Siwezi acha kuokota buku kisa Nina milioni mfukoni..!!!

#YNWA
How many are you? huo mshahara mkubwa mnaotaka mtapewa na hii serikali iliyopewa pesa za Royal Tour na wafadhili?

Jiongezeni.
 
Kwanini makengeza Mbowe Hana huruma kabisa. Kawaharibu kabisa akili, aisee
Naona hasira zimepungua baada ya kuelewa ukweli, amka usingizini tazama fursa nyingine, usiwaze watu wasiokuhusu fikiria kuongeza kipato chako uache kugeuzwa mtumwa.

Najua chungu lakini ndio dawa, meza tu.
 
How many are you? huo mshahara mkubwa mnaotaka mtapewa na hii serikali iliyopewa pesa za Royal Tour na wafadhili?

Jiongezeni.
Nishajiongeza tokea zamani.

"Naitwa Mr. Liverpool ni mkulima wa Parachichi"

Ila nachosema " Mshahara mkubwa ni haki yangu"

Cc:- picha 👇👇

Mwezi ujao tunaanza jaza mifuko ya pesaaaa.

Ila MSHAHARA MKUBWA LAZIMA.

#YNWA
 
How many are you? huo mshahara mkubwa mnaotaka mtapewa na hii serikali iliyopewa pesa za Royal Tour na wafadhili?

Jiongezeni.
Si bora hata royal tour, pesa kwa ajili ya anuani ya makazi walikua wanapita madukani kwa wafanyabiashara kuomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…