Afadhali Rais Samia kaukwepa mtego wa kutangaza nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi. Hongera mama!

Afadhali Rais Samia kaukwepa mtego wa kutangaza nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi. Hongera mama!

Angetangaza nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi hadharani angetia chumvi kwenye kidonda kibichi cha mfumuko wa bei.

Jambo hili ni jema na linaonesha ni kwa kiasi gani rais SSH ana uwezo mkubwa wa kufikiri.

Mambo 4 yafuatayo ndiyo husababisha mfumuko wa bei
1. Upungufu wa mafuta
2. Tangazo la ongezeko la mishahara
3. Ongezeko la bei ya mafuta
4. Tangazo la Vita na Vita yenyewe.

Mama Samia hoyeeee!!!
Oyeee
 
Mbona ametangaza na amesema wanafanyia mahesabu ili wajue ni kiasi gani
Yani na wewe unaamini kuwa bado wanafanya mahesabu? Kuanzia mwezi wa 4 Hadi wa 6 si ndiyo kipindi Cha bajeti ambayo imeshajadiriwa na Cabinet sa hivi inapitishwa na Bunge? Hayo mahesabu wanayoenda kufanya ni yapi tena?
 
Alipunguza asilimia 1 ya payee, akaongeza tozo kila kona!

Hii ambayo hajataja kiwango, mtaongea kilugha muda si mrefu!

Bahati yenu ni kuwa amewapa meno ya kujilia kwa urefu wa kamba na kulamba asali mtakavyo, kinyume chake, mngeiona jehanamu mngali hai
Wivu unakusumbua tu, why negative?
 
Wivu nikuonee wewe unaeomba kuongezewa mshahara kila mwaka?

You must be kidding young lady, emancipate yourself from mental slavery, matokeo yake mnamuona Rais kama mungu wenu!.
Rais ni kiongozi wetu, lazima aambiwe shida zetu.

Acha wivu dogo, kupata mshahara mwisho wa mwezi raha sana
 
Hakuna nyongeza thus katumia lugha za janja janja eti kuwakwepa wafanyabiashara, wafanyabiashara hawa wanaoongeza bei za bidhaa kila siku.
Ataje asilimia, kama alivyotaja UHURU Kenyatta kwa wafanyakazi wa Kenya
 
Hyo co 7bu
Angetangaza nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi hadharani angetia chumvi kwenye kidonda kibichi cha mfumuko wa bei.

Jambo hili ni jema na linaonesha ni kwa kiasi gani rais SSH ana uwezo mkubwa wa kufikiri.

Mambo 4 yafuatayo ndiyo husababisha mfumuko wa bei
1. Upungufu wa mafuta
2. Tangazo la ongezeko la mishahara
3. Ongezeko la bei ya mafuta
4. Tangazo la Vita na Vita yenyewe.

Mama Samia hoyeeee!!!
 
Kama kweli Mh. Rais kaogopa kutangaza ongezeko la Mishahara kwa kuogopa Mfumuko wa Bei kwenye Nchi ambayo yeye ndo Amiri Jeshi Mkuu!!!

Basi Serikali yake, ni LEGELEGE.
 
Angetangaza nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi hadharani angetia chumvi kwenye kidonda kibichi cha mfumuko wa bei.

Jambo hili ni jema na linaonesha ni kwa kiasi gani rais SSH ana uwezo mkubwa wa kufikiri.

Mambo 4 yafuatayo ndiyo husababisha mfumuko wa bei
1. Upungufu wa mafuta
2. Tangazo la ongezeko la mishahara
3. Ongezeko la bei ya mafuta
4. Tangazo la Vita na Vita yenyewe.

Mama Samia hoyeeee!!!
View attachment 2207870
Ongezeko la bei ya mafuta limekuwepo hata kabla ya tangazo la mshahara kupanda
 
Back
Top Bottom