Afadhali Rais Samia kaukwepa mtego wa kutangaza nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi. Hongera mama!

Uko shallow Sana kwenye hoja zako, tupo wenye akili kubwa next time andika vitu vinavyojadilika na watu wenye akili
Wenye akili hutoa hoja mbadala hawaishii kuponda na kutoa kejeli.
 
Reactions: Tui
Pole mkuu kwa kuvurugwa maana sielewi quote yangu imefikaje huku.

Mshahara usimlaumu Mama Samia ulicheza mwenyewe darasani
Sijawahi jutia kuajiriwa.

Tafadhali refer post #43

Sijawahi cheza darasani...
Na haya ndio matunda yake 👇👇



Mshahara mkubwa tutapata July/2022.
Mama sio muongo.

KARIBU KWENYE SIDE HUSTLE ZA KILIMO ILI TUBADILI UDONGO KUWA PESAAAAAAAA.

👇👇👇 SIJAWAHI CHEZA DARASANI na SITOWAHI CHEZA MAISHANI.


Poleeeeeeee

#YNWA
 
Big up mzee wa an field, mwaka huu mkomae na FA, champions league, premiere league zinaenda city of Manchester.
 
Naona hasira zimepungua baada ya kuelewa ukweli, amka usingizini tazama fursa nyingine, usiwaze watu wasiokuhusu fikiria kuongeza kipato chako uache kugeuzwa mtumwa.

Najua chungu lakini ndio dawa, meza tu.
Inama kidogo basi

 
Acha utoto,bei hazipandi kwa kutangaza,pia kwani salary iliongezeka mwezi wa 7 hatutajua?

Rais wa Kenya katangaza hadharani kwa hiyo Bei zitapanda?

Ishu ni kwamba wanajaribu kuweka mambo fulani fulani sawa.
 
Kwa akili yako akiongeza "kwa siri" haitajulikana???
 
Kwamba serikali inashindwa na wafanyabiashara wake?

Unaogopa kusema unapandisha kiasi gani kisa unawaogopa wafanyabiashara?
 
Hapo ndio huwa tunasema Rais ametumia AKILI ya kiuongozi.Nyongeza ya mishahara sio matangazo.
 
Ulitaka kusema jambo jema ukalitia mavi kwa chuki zako binafsi...
 
Hapa nakupongeza, nawashauri na wengine waige mfano wako wasimtegemee mwanasiasa kila siku kuwapa wanachotaka, watafeli na muda hauwasubiri.
 
Vitu vilianza kupanda bei siku ile tu aliposema kuna vita vya rusia na ukraine tutegemee vitu kupanda bei sababu ya vita hii.hayo mambo ya mishahara ni mbwbwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…