OyeeeAngetangaza nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi hadharani angetia chumvi kwenye kidonda kibichi cha mfumuko wa bei.
Jambo hili ni jema na linaonesha ni kwa kiasi gani rais SSH ana uwezo mkubwa wa kufikiri.
Mambo 4 yafuatayo ndiyo husababisha mfumuko wa bei
1. Upungufu wa mafuta
2. Tangazo la ongezeko la mishahara
3. Ongezeko la bei ya mafuta
4. Tangazo la Vita na Vita yenyewe.
Mama Samia hoyeeee!!!
Yani na wewe unaamini kuwa bado wanafanya mahesabu? Kuanzia mwezi wa 4 Hadi wa 6 si ndiyo kipindi Cha bajeti ambayo imeshajadiriwa na Cabinet sa hivi inapitishwa na Bunge? Hayo mahesabu wanayoenda kufanya ni yapi tena?Mbona ametangaza na amesema wanafanyia mahesabu ili wajue ni kiasi gani
Wivu unakusumbua tu, why negative?Alipunguza asilimia 1 ya payee, akaongeza tozo kila kona!
Hii ambayo hajataja kiwango, mtaongea kilugha muda si mrefu!
Bahati yenu ni kuwa amewapa meno ya kujilia kwa urefu wa kamba na kulamba asali mtakavyo, kinyume chake, mngeiona jehanamu mngali hai
Rais ni kiongozi wetu, lazima aambiwe shida zetu.Wivu nikuonee wewe unaeomba kuongezewa mshahara kila mwaka?
You must be kidding young lady, emancipate yourself from mental slavery, matokeo yake mnamuona Rais kama mungu wenu!.
Angetangaza nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi hadharani angetia chumvi kwenye kidonda kibichi cha mfumuko wa bei.
Jambo hili ni jema na linaonesha ni kwa kiasi gani rais SSH ana uwezo mkubwa wa kufikiri.
Mambo 4 yafuatayo ndiyo husababisha mfumuko wa bei
1. Upungufu wa mafuta
2. Tangazo la ongezeko la mishahara
3. Ongezeko la bei ya mafuta
4. Tangazo la Vita na Vita yenyewe.
Mama Samia hoyeeee!!!
Sikiliza hiyo clip hapo kwenye uzi, dakika ya kwa kabisa (imeandaliwa na wenye akili).Hyo co 7bu
Namuonea wivu nani sasa? Raisi au mtumishi?Wivu unakusumbua tu, why negative?
SawaUnadhani Mungu Ni makengeza Mbowe.
Punguzeni kuinamishwa mpate akili timamu
Ongezeko la bei ya mafuta limekuwepo hata kabla ya tangazo la mshahara kupandaAngetangaza nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi hadharani angetia chumvi kwenye kidonda kibichi cha mfumuko wa bei.
Jambo hili ni jema na linaonesha ni kwa kiasi gani rais SSH ana uwezo mkubwa wa kufikiri.
Mambo 4 yafuatayo ndiyo husababisha mfumuko wa bei
1. Upungufu wa mafuta
2. Tangazo la ongezeko la mishahara
3. Ongezeko la bei ya mafuta
4. Tangazo la Vita na Vita yenyewe.
Mama Samia hoyeeee!!!
View attachment 2207870
Uko shallow Sana kwenye hoja zako, tupo wenye akili kubwa next time andika vitu vinavyojadilika na watu wenye akili