Hacha ubaguzi yahee! Mbona Wabara mwaleta chokochoko, mwatubagua?Rais akiwa Mzanzibar timu ya Tanganyika haiwezi kuwa bingwa
Wifi za masikuNdo kilichobaki..!!
Umeona mbali drama zingekua nyingi sana na Mungu yupo upande wa kuliponya taifaNimefurahi sana hakuna cha Mama wala nini,ni mwendo wa Spana za Gwajima na uchungu kwa wale wapendwa wetu waliopotea hatuna mda wa furaha mpaka Tundu lussu awe huru
Wangeanza kusema mama mamaa mamaaa mamaaa mamaaaaNimefurahi sana hakuna cha Mama wala nini,ni mwendo wa Spana za Gwajima na uchungu kwa wale wapendwa wetu waliopotea hatuna mda wa furaha mpaka Tundu lussu awe huru
Watahamia kwenye derby Simba na Yanga, soon mama atawaita ku solve mgogoro then kikipigwa atakuwa mgeni rasmi🦾🦾🤣🤣Nimefurahi sana hakuna cha Mama wala nini,ni mwendo wa Spana za Gwajima na uchungu kwa wale wapendwa wetu waliopotea hatuna mda wa furaha mpaka Tundu lussu awe huru
Hizi Simba na Yanga ndizo zimetufabya hii nchi iwe masikini, wanasiasa kuwatukana wanaowaongoza.Nimefurahi sana hakuna cha Mama wala nini,ni mwendo wa Spana za Gwajima na uchungu kwa wale wapendwa wetu waliopotea hatuna mda wa furaha mpaka Tundu lussu awe huru
Ubaya uberkane!!..humu tuu..!!Kiufupi nimefurahi sana, maana wana vimdomo sana. Pia sisi wengine tungeingizwa kusakamwa bure. Bora wamekosa, kila mtu aendelee na alichokiacha.
Hii ni historia...
Wamekosa kombe
Tarehe 25
Mwezi 5
Mwaka 2025
Hiyo namba 5 mshaelewa na imeisha hiyoooo.
🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡
🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆