Kenya 2022 Afadhali ya NEC, ile IEBC ni aibu tupu. Tanzania tuko vizuri

Kenya 2022 Afadhali ya NEC, ile IEBC ni aibu tupu. Tanzania tuko vizuri

Kenya 2022 General Election
IMG_2554.jpg

Hawa makamishna walikuwa wanamuunga mkono odinga…walipendekezwa na uhuru wakaingia kwenye tume ,uhuru aliweka wazi anamsupport raila na hawa aliwapendekeza unadhan walikuwa side gani…
Mwanzo mbona uhakiki ulienda vyema ,gafla mwishon kutangaza ndo wajitoe? Na wafuasi wa raila waanzishe ugomvi nje ya bomas na raila asitokee….hawa wote walitaka kutoa taharuki hawaamin kama ruto kawapiga live…bado walikuwa wanaamin nafasi ya kushinda ipo as walikuwa wanakaribiana sana
Uzuri ni kwamba mahakama imetoa siku 7 za raila kupinga mahakamani kama haridhiki na matokeo na yatachunguzwa upya simple kabisa
Wakapinge mahakamani
 
Kama kila kitu kinaenda kwa uwazi na Ukweli kwanini makamishina wa IEBC wanapingana hadharani wenyewe kwa wenyewe?

cc: Halima Mdee na wenzake
Usijipake uchafu kwa kuilinganisha IEBC na NEC.Kama IEBC wangalikuwa nec wangalifata matakwa ya Kenyatta na Ruto asingeshinda kwa sababu nec sio huru na wao wanajua
 
Back
Top Bottom