Kenya 2022 Afadhali ya NEC, ile IEBC ni aibu tupu. Tanzania tuko vizuri

Kenya 2022 General Election
Kama kila kitu kinaenda kwa uwazi na Ukweli kwanini makamishina wa IEBC wanapingana hadharani wenyewe kwa wenyewe?

cc: Halima Mdee na wenzake
Acha ujinga bana kura zilikua zinahamishwa bila ya uoga,hakuna Internet, hakuna uwazi wowote unataka kujifanya hatujui au,media zote zimepigwa mkwara kutangaza mambo kama hayo
 
Kama kila kitu kinaenda kwa uwazi na Ukweli kwanini makamishina wa IEBC wanapingana hadharani wenyewe kwa wenyewe?

cc: Halima Mdee na wenzake

Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka Kenya (IEBC), Juliana Cherera na wenzake watatu wamesema hawayatambui matokeo ya uchaguzi mkuu yatakayotangazwa kutokana na hatua za mwisho kughubikwa na sintofahamu.
 
Watu wenye akili timam always wanapenda ku argue, kufananisha IEBC na NEC ni sawa na kichuguu na Kilimanjaro

Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka Kenya (IEBC), Juliana Cherera na wenzake watatu wamesema hawayatambui matokeo ya uchaguzi mkuu yatakayotangazwa kutokana na hatua za mwisho kughubikwa na sintofahamu.
 
Usifananishe IEBC na vitu vya kipuuzi.

Back
Top Bottom