binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Watangazaji wote huku ni CCMMnatamani iwe hivyo! Huko kwenu kambi ya Rais anayeondoka madarakani inaweza kushindwa?
Acha ujinga bana kura zilikua zinahamishwa bila ya uoga,hakuna Internet, hakuna uwazi wowote unataka kujifanya hatujui au,media zote zimepigwa mkwara kutangaza mambo kama hayoKama kila kitu kinaenda kwa uwazi na Ukweli kwanini makamishina wa IEBC wanapingana hadharani wenyewe kwa wenyewe?
cc: Halima Mdee na wenzake
Kama kila kitu kinaenda kwa uwazi na Ukweli kwanini makamishina wa IEBC wanapingana hadharani wenyewe kwa wenyewe?
cc: Halima Mdee na wenzake
Watu wenye akili timam always wanapenda ku argue, kufananisha IEBC na NEC ni sawa na kichuguu na Kilimanjaro
Usifananishe IEBC na vitu vya kipuuzi.