Afande Kagame: Wanajeshi huwa hawalalamiki?

Mh Kikwete alipeleka Jeshi ambalo lilisambaratisha M 23 kwa wiki mbili vita yao ndio ikaanzia hapo...
Mpaka leo watanzania wanachúkiwa kwa sababu hiyo.Raisi kikwete alionekana anaingilia maslahi binafsi ya Kagame.Nakumbuka nilikua Rusumo nikasikia hotuba ya kagame alipokua anahutubia vijana wa chama chake kule Kigali,alimtusi sana kisiasa na kwa dhiaka Raisi kikwete na watanzania mpaka nikajiuliza hii jeuri Kagame anaitoa wapi????
 
Walishasettle tofauti zao kitambo sana wako poa kwa sasa
Sio kwa mjomba Kagame,nawajua sana RPF na mentality zao.Waga wanasettle tofauti usoni tu.Museveni anawajua vizuri sababu walichomfanyia hatawasahau wanyarwandwa wale na kosa lake ilikua ni kuwaamini na kuwapa idara nyeti kwenye serikali yake.
 
Kagame hashauriki mpaka mitutu ya bunduki ifike tena kigali.Kama yeye alivyomfanyia Habriymana.
 
Maendeleo ya Rwanda yananufaisha wachache waliopo Rwanda.Wale waliopo ukimbizini hawanufaiki kwa lolote na ndio maana wameamua kuchukua mtutu wa bunduki ili wapate nafasi ya kurudi nyumbani sababu hakuna njia mbadala.
 
Kwenye Camera tuu ila Kagame mtu yeyote anaeingilia ulaji wake anamuona ni adui mkubwa kwake kama Mseveni aliemuweka pale wanazinguana sio mtu wa kumwamini yule ndege ya Uganda imeanza safari wiki hii kwenda Kigali toka miaka ile ya ugomvi wao...
Upo sahii mkuu,ndio maana wapinzani wake wanaona njia sahii ya kudeal nae ni kutumia mtutu.Na yeye anajua consequences za kutumia mtutu zipoje.
 
Mzee walikujia wale makachero wa kawaida,au wale wanajiita special force????.Ni kawaida yao kutowaamini Watanzania mkuu.
Walikuja wa kawaida ila tuliongea tuu kirafiki wao walisema pia sitakiwi kwenda kujichanganya kwenye nyumba za raia kutokana na hili gonjwa maana wanasema unaweza ukapa pisi ikakwambia mwende nyumbani kwao nikasema pisi itakuja hapa maana naweza kusema nimepata pisi kumbe ndio nyie nyie tena...ila wanaipenda Daslm kuliko majiji mengi wakisikia umetoka Tanzania wanatamani uwalete daslm..
 
Sema mkuu hapo umesema kweli.Hivi kwanini Wanyarwanda na Wacomoro na Warundi na Wacongomani na Wazambia wanaipenda sana Dar es salaam.Kuna nini Dar es salaam????
 
Acheni uoga kama mnaweza shikeni siraha mje Kigali tupambane, mlikimbizwa kwa siraha na nyie kama mnaweza rudini kwa siraha, hata Kagame akifa leo nyie mbwa hamna uwezo wa kuchukua madaraka ya [emoji1206] tulipigana tukawashinda na hatujasahau mlivyoua ndugu zetu tutaendelea kuwafuatilia popote mlipo duniani and we must eliminate all of you.
 

Umutekano please
 
Watarudi tu wala usiwe na shaka.Na safari hii Tanzania wala Uganda wala Marekani haitowasaidia.Kwani unadhani na wao wahutu wamesahau watusi walivyoua ndugu zao kwa karne nyingi kabla Rwanda haijapata uhuru kutoka kwa mkoloni.Tumechoka kubeba wakimbizi wa Rwanda hivyo watarudi tu Kigali,afande Kagame aache kulalamika asiogope vita vinavyokuja siku za usoni na uzuri time will tell everything
 
Mkuu mwambie afande PS aache kulalamika,awe kama Habriymana unapambana mpaka tone la mwisho.
 
Inaongea ukiwa umejificha kwenye pori gani??
Bukavu au goma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…