Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
-
- #41
Mkuu bila kusaidiwa na waganda na watanzania msingewashinda akina Habriymana.Afande PS aache kulalamika na kuishia kuwaua wacongomani kule kivu wasio na hatia.Acheni uoga kama mnaweza shikeni siraha mje Kigali tupambane, mlikimbizwa kwa siraha na nyie kama mnaweza rudini kwa siraha, hata Kagame akifa leo nyie mbwa hamna uwezo wa kuchukua madaraka ya [emoji1206] tulipigana tukawashinda na hatujasahau mlivyoua ndugu zetu tutaendelea kuwafuatilia popote mlipo duniani and we must eliminate all of you.
🤣🤣🤣🤣 Nipo downtown mkuu,porini nikafanye nini msomi mbobezi na mwanasiasa nguli kama mimi.Ninawakilisha wanyonge mkuu,wamealiwa na kukaa ukimbizini mpaka nawaonea huruma.Lazima wawe na plan b.Inaongea ukiwa umejificha kwenye pori gani??
Bukavu au goma?
Niliwahi kuishi na wahanga wa vurgu za 1994 Mgusu Geita pale,walikuwa vijana wawili lkn 1994 bado walikuwa watoto wa kati ya 10-13, walikuwa wakisimulia namna walivyochomoka mpaka kuja TZ inastaajabisha sana.Nimesoma nimebaki natetemeka
Hapo mhanga siyo Afande Kagame. Mhanga ni mwananchi wa Rwanda.
Kagame ashauriwe kukaa meza ya mazungumzo kwa sababu mema aliyoifanyia Rwanda ni kwa faida ya wananchi wa Rwanda. Kushikiana mtutu ni dalili ya kupalilia uharibifu.
Tusiwaonee wivu wanyarwanda bali tuangalie namna ya kuwapatanisha kwa sababu ni wilaya ya Afrika inayopiga hatua kubwa kiuchumi.
Tusifikie huko jamani.
Vita ni adui wa ustawi
Sasa Dogo kama huyo humpi nafasi ya kurudi Rwanda,unategemea atakubembeleza kurudi kwenye nchi yake ya asili aliyozaliwa.Karibia intarehamwe wote na washirika wao walishakufa kimebaki kizazi ambacho ni cha wakimbizi wasio na kwao.Wamezaliwa ukimbizini Tanzania,Kongo DRC,Burundi,Angola na nchi nyingine za Bara la Afrika na Bara la Ulaya na Marekani na Australia wote hawa wanasitahili kurudi Rwanda kwa njia yoyote ile,no discussion,s.Niliwahi kuishi na wahanga wa vurgu za 1994 Mgusu Geita pale,walikuwa vijana wawili lkn 1994 bado walikuwa watoto wa kati ya 10-13, walikuwa wakisimulia namna walivyochomoka mpaka kuja TZ inastaajabisha sana.
Jamaa anasema alikuwa akitoka kitaa,kufika nyumbani anaona kuna watu wame wazingira wazazi wake,akajificha kichakani huku akichungulia.
Wakamuamlu mama yake amtwange mtoto aliye mgongoni,mama akawa na kigugumizi.
Wakawaingiza na kuipiga nyumba kiberiti 😭😭😭😭
Jamaa aliniambia baada ya kuona vile akakimbia kusiko julikana,ghafla akakuta kuna miili miingi lkn akagundua kuwa wauaji bado wako jirani,akajichanganya humohumo na yeye.
Na kweli,wauaji walikuja kukagua baadae wakasepa. Dogo baadae akachanja mbuga bila kujua anaelekea wapi,ndipo njiani akakutana na makundi ya wahanga wengine,naye akaunga tela mpaka TZ. Hajui nini kiliendelea kwa wazazi wake wala nduguze.
Haya mambo ya vita tuyaepuke sana
Hata Habriymana alijiita raisi wa maisha mwaka 1986.Kwenye mkutano mkuu wa 12 wa kamati kuu ya chama tawala pale Kigali lakini alipinduliwa.Atakae mng'oa kagame ajengewe sanamu kila mtaa
Hatari lakini salama mkuuHatari mkuu
Vita sio vizuri ila kuna nyakati hakuna namna.Niliwahi kuishi na wahanga wa vurgu za 1994 Mgusu Geita pale,walikuwa vijana wawili lkn 1994 bado walikuwa watoto wa kati ya 10-13, walikuwa wakisimulia namna walivyochomoka mpaka kuja TZ inastaajabisha sana.
Jamaa anasema alikuwa akitoka kitaa,kufika nyumbani anaona kuna watu wame wazingira wazazi wake,akajificha kichakani huku akichungulia.
Wakamuamlu mama yake amtwange mtoto aliye mgongoni,mama akawa na kigugumizi.
Wakawaingiza na kuipiga nyumba kiberiti 😭😭😭😭
Jamaa aliniambia baada ya kuona vile akakimbia kusiko julikana,ghafla akakuta kuna miili miingi lkn akagundua kuwa wauaji bado wako jirani,akajichanganya humohumo na yeye.
Na kweli,wauaji walikuja kukagua baadae wakasepa. Dogo baadae akachanja mbuga bila kujua anaelekea wapi,ndipo njiani akakutana na makundi ya wahanga wengine,naye akaunga tela mpaka TZ. Hajui nini kiliendelea kwa wazazi wake wala nduguze.
Haya mambo ya vita tuyaepuke sana.
Wanao panga kurudi ni wale wanaoishi ukimbizini kimkakati.Sasa Dogo kama huyo humpi nafasi ya kurudi Rwanda,unategemea atakubembeleza kurudi kwenye nchi yake ya asili aliyozaliwa.Karibia intarehamwe wote na washirika wao walishakufa kimebaki kizazi ambacho ni cha wakimbizi wasio na kwao.Wamezaliwa ukimbizini Tanzania,Kongo DRC,Burundi,Angola na nchi nyingine za Bara la Afrika na Bara la Ulaya na Marekani na Australia wote hawa wanasitahili kurudi Rwanda kwa njia yoyote ile,no discussion,s.
Mkuu sijakuelewa???US President Joe Biden will likely miss out on the coronation of Britain’s King Charles III, The Telegraph reported on Friday.
According to a “source close to the Biden administration” quoted by the newspaper, “foreign travel takes a fair amount out of” the 80-year-old US leader.
====
Hivi safari hii tutakubali Tena kurundikwa kwenye matatu?
Mkuu upo sahii kabisa katika hilo.Watu wa mikakati kama FDR na wengine ndio wana mpango wa kurudi.Wanao panga kurudi ni wale wanaoishi ukimbizini kimkakati.
Wamekuwa na wanaendelea kujipanga ili warudi mother land,lkn wale niliowaelezea hapa,TZ ndo hawakuwa na mpango wa kuondoka kwakuwa walikuwa wananiuliza,
Sasa mimi kwanza sifahamu kwetu ni maeneo gani,je nitaenda kufikia kwa nani? Bora TZ tu ilimradi nina jishughulisha na kupata kipato halali.
Mimi ni mkaguzi tuu mkuu nikipita Ethiopia wakinipa transit ya kulala hotel nilikua nafanya ukaguzi pia nachukua Tax naenda nje ya mji huko kidogo najiokotea narudi na tetele wangu bila shida wa mjini wajanja wajanja hawachelewi kujipaka madawa ya kulevya ukalewa akaondoka na zaga zote...🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu ungeoa kabisa.
Sema mkuu hapo umesema kweli.Hivi kwanini Wanyarwanda na Wacomoro na Warundi na Wacongomani na Wazambia wanaipenda sana Dar es salaam.Kuna nini Dar es salaam????
Mkuu una hatari wewe🤣🤣🤣🤣Mimi ni mkaguzi tuu mkuu nikipita Ethiopia wakinipa transit ya kulala hotel nilikua nafanya ukaguzi pia nachukua Tax naenda nje ya mji huko kidogo najiokotea narudi na tetele wangu bila shida wa mjini wajanja wajanja hawachelewi kujipaka madawa ya kulevya ukalewa akaondoka na zaga zote...U
Kama sisi wabongo tunavyoiona Antlanta through video za Migos🤣🤣🤣Kwa sababu ya bongofleva...
Wao wanajua Dar ni kama video za Diamond na Harmonize...bata mwanzo mwisho na maisha mepesi sana
Kutakuwa na Sherehe huko Uingereza ya kumsimika mfalume wao baada ya Malkia wao kufariki. Sasa ndiyo najiuliza tutakusanywa Tena kwenye matatu ama dalala wakati wa Kuhudhuria sherehe hii kama walivyotufanyia wakati wa msiba wa malikia wao?Mkuu sijakuelewa???
Hivi hakwenda kule mjomba??????Siku hizi hatoki nje ya nchi yake mara kwa mara sababu hawaamini sana makamanda wake.Wanaweza kumgeuka mda wowote anahisi baadhi ya watu wake wanataka kufanya mageuzi ndani ya serikali.Kutakuwa na Sherehe huko Uingereza ya kumsimika mfalume wao baada ya Malkia wao kufariki. Sasa ndiyo najiuliza tutakusanywa Tena kwenye matatu ama dalala wakati wa Kuhudhuria sherehe hii kama walivyotufanyia wakati wa msiba wa malikia wao?
===
Kagame sikumuona kwenye matatu hiyo wakati wa msiba.
Ukweli sina hakika kama hii ndiyo sababu inayomfanya asifanye ziara mara kwa mara.Hiv
Hivi hakwenda kule mjomba??????Siku hizi hatoki nje ya nchi yake mara kwa mara sababu hawaamini sana makamanda wake.Wanaweza kumgeuka mda wowote anahisi baadhi ya watu wake wanataka kufanya mageuzi ndani ya serikali.