Afande Msoma Qur'aan anaweza kuwa katupiwa jini tusiisingizie Corona

laiti africa pia tungepewa mafunzo kuhusu ulimwengu wa roho tungekua mbali sana katka kila nyanja maana ulimwengu wa roho ndo hukwamisha kila kitu ktk ulimwengu wa mwili...

wenzetu elimu ya mambo yakiroho inaupa umbele ndo maana hawafail katika wayafanyayo
 
Daaaa kweli aisee, Yani Kuna watu ni wabayaaaa, kazi yao kuwatesa wenzao, kuwaharibia maisha, mi mwenyewe nimejifunzaga.. I suspect everybody, I trust nobody
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Doooo makabila ya kusini maendeleo mtayasikia kaskazini
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasubiri orodha ya millionaires wanaosoma Quran nchini
Tena millionaires kabisa [emoji848]
Wakati ukifika hakuna kumlaumu mtoa roho bali binadamu tutapanga wenyewe namna tunavyoona

Ila mwisho wa siku hata wewe hiyo roho utaitema tu na sisi tutasema sababu tunayoona inakufaa
Kama hatukupendi ndio tutasema kila kitu


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Ni magonjwa tu
 
LIKUD ungeandika kiswahili yote maana hicho kiingereza chako sijui ndo una practice?
...to make it look like = to make it looks like
He dead on the arrival = he was dead on.....
😂😂😂🙏🙏🙏🙏

 
Unatuambia kuruani (aliyoihifadhi kichwani) imegaragazwa kipuuzi tu wachawi?
Au sijakuelewa mkuu???
 
NI hatari Sana ku expose baraka alizo kupa Mungu mbele ya macho ya watu
 
Unatuambia kuruani (aliyoihifadhi kichwani) imegaragazwa kipuuzi tu wachawi?
Au sijakuelewa mkuu???
Wewe ndio umesema hivyo.
 
nilipokuja na uzi wangu kuelezea jinsi wachawi watakavyotumia janga la corona kuumiza watu uliibuka na kudai hukubaliani na mada yangu alafu leo unaandika kitu kile kile usichokubaliana nacho aki wewe ni ndumila kuwili

Sorry
 
Sorry kwa kukukwaza mkuu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…