Aisee we jamaa una chuki za wazi wazi na imani za watu wengine.. ukiambiwa uthibitishe huo uchawi aliorogwa utathibitisha? Mbona unakuwa na kashfa zisizokuwa na mpango! Au chukulia kafa baba yako mzazi kisha mtu kaja kaleta uzi kama huu vipi utajifeel! Kuwa mstaarabu, id fake na kusema nyuma ya keyboard isikufanye ukaandika vitu vinavyowakwaza watu wengine. Aliekwambia kuwasomea watu dua unakuwa tajiri mpaka wamroge marehemu kamanda ni nani? Hayo mambo yapo upande wenu unaanzisha kanisa lako unauza vitambaa vya upako, maji ya upako, mafuta ya upako etc. Hebu niambie shehe gani hapa bongo kazi yake kusoma dua kawa tajiri kumshinda mzee wa upako, gwajima, kakobe, mwamposa etc. Hayo mambo huku kwetu hakuna.. huyo kamanda r.ip alikuwa akisoma kwa mapenzi ya mwenyezimungu na wala si kutafuta chochote.
Umeuliza swali zuri Sana mkuu. The reason hao akina Mzee wa Upako wanakuwa matajiri kuliko mashekhe wetu ni..moja Tu nayo ni Kwa sababu wanatembelea Nyota ya Yesu.
Nyota ya Yesu ndio nyota kuu kuliko nyota zote zilizo wahi kutokea hapa duniani na MBINGUNI.
Chochote utakacho kifanya Kwa jina.la Yesu people will just like you and favour you . Not because of who you are but because of the name that you are carrying.
It's like kibongo bongo ukiwa Mwanasheria, people will give you so much respect not because Ur a very important person but because you belong to a Noble Proffession.
Au kama wanajeshi huko mtaani mnawaogopa sio Kwa sababu NI watu WA ajabu Sana but because they belong to a very respectable and feared institution.
Mifano ipo mingi Sana.
That name is very very powerful
It can do and undo.
Hata hivyo ukiwa Muislamu achilia mbali kuwa shekhe au kuhifadhi juz zote, halafu ukawa masikini basi Huo ni uzembe wako Kwa sababu hata katika Uislamu wenyewe UMASIKINI NI ukafiri.
Not only that: Mungu ametoa mafuta " Annointment" Kwa watu WA dini Jamii kabila na rangi zote duniani Kwa sababu wote ni wa kwake. Kwa Mungu watu wote Wana umuhimu mkubwa Sana na sio watu wa dini Fulani Tu.
So Mwenyezi Mungu amegawa karama, baraka, vipaji na mafuta ' Annointment" Fulani Kwa kila jamii ya watu Fulani.. ukiwa member katika jamii hiyo automatically unakuwa entitled na Annointment hiyo.
Mifano: Wazungu Mungu aliwapa siku ya Tano ya Juma ambayo ni Jumapili ( Yeah jUmapili NI siku ya Tano ya Juma na sio ya pili au ya Saba kama.baadhi ya watu wanavyo amini)
Jumapili NI siku ya kufanya mambo makubwa makubwa. Ndio maana waliopewa siku ya Jumapili ( wazungu ) Wana karama.ya kufanya mambo makubwa makubwa duniani. Mambo yote makubwa duniani yamefanywa na wazungu yawe mazuri au mabaya.
Jina halisi la siku ya Jumapili ni " SIKU YA MAMBO MAKUBWA"
2. WARAABU : Wao wamepewa siku ya tatu ya Juma ambayo ni IJUMAA( Yes Ijumaa NI siku ya tatu ya Juma. Siku ya Kwanza ya Juma NI Jumatano au Kwa jina lake halisi " SIKU YA NURU AU SIKU YA MWANGA"
Jina halisi la siku ya IJUMAA ni " SIKU YA FAIDA NA THAMANI"
Ndio maana waarabu na ofcourse waislamu Wana ng'aa Sana kwenye biashara. Watu wanao fanya vizuri kwenye biashara duniani wengi wao NI waarabu na waislamu.
This one will be a topic for another day.
Back to my point. NI haramu Kwa Muislamu yoyote Yule duniani kuwa masikini not alone Muislamu aliye hifadhi Qur'aan yote kichwani.
Kama wewe halafu masikini basi huna.haki.ya kumuita asie Muislamu kafiri Kwa sababu hata wewe ni kafiroon.
Kuwa Muislamu na kuwa masikini haviendani Yani ni Sawa na.kuwa Mwenyekiti wa chama.cha umoja WA wasagaji na mashoga wenye hofu ya Mungu.