Afande Msoma Qur'aan anaweza kuwa katupiwa jini tusiisingizie Corona

Afande Msoma Qur'aan anaweza kuwa katupiwa jini tusiisingizie Corona

Umasikini, uchawi na kupiga nyungu ni vitu vinavyoenda sambamba
 
Why alipost ile clip? Binadamu hawapendi mafanikio ya watu, cheo na mengine. Binadamu tunajiloga wenyewe muda mwingine, mchumba unamtangaza, gari unapost, nyumba unarusha fb, nani apende hayo? Nashukuru Mungu nimejifunza mengi sana katika hii dunia kwa haka kaumri, sasa naishi maana mengi nimeyajua tena kwa kina.
Kama ilivyoada yangu.... Simuamini yeyote hapa duniani.... awe mzazi au rafiki ima kaka au dada.
Namuamini Mungu tu maana yeye hawezi nitosa kwani ndiye aliyeniumba.
Kwahiyo tuishi kwa kujificha ficha kisa uchawi?Mtaani ama mitandaoni papambwe na nini? Majeneza na Tanzia?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana kwa kufikisha umri huo, na bado huamini wazazi wako.
Kwangu Baba na Mama, ni Mungu wa pili.

Wangetaka wenda nisingefika umri huu, wengependa wangeweza kunidhuru kwa
Kwa namna yeyote ile. Wamenilea walijinyima kwa ajili yangu, nilipoumwa niliumwa nao, walijima sitarehe zao kwa ajili yangu leo nisiwaamini.

Nikikumbuka yule, alieyetoa nadhiri, alafu akataka kumchinja mtoto wake, na mtoto alipo julishwa hakukataa, aliona Baba ni Mungu wa pili.

Ee Mwenyezi Mungu naomba uendelee, kunijaza upendo kwa mzazi wangu mmoja aliebaki Duniani, na mzazi alietangulia mbele haki, umpe pumziko jema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usikariri..... Hukaambiwa siwapendi bali kuwaamini! Unajua anayepaswa kuaminiwa ni nani? Tafuta maana ya neno imani ndio uje uandike! Allah pekee ndiye anayepaswa kuaminiwa pasi na shaka na sio kiumbe! Ila sikupingi endelea kuamini kwani wao ni watakatifu kwa kuwa walikuzaa hivyo kamwe hawawezi kukulet down.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unasoma kweri maandiko?
Shetan anaweza kutoa uhai wa mtu,shetan anaweza kuleta misukosuko na vifo dunian,ndo unaona mchawi anaweza kumuua mtu,but if u hace full pritection of blood of jesus shetan hataweza kitu, rejea Daniel,meshack,Ayubu, nk,wote hawa walikwepa vifo vilivyozamiliwa na wanadamu na shetani.

Sent using Jamii Forums mobile app
kha.
 
Kuna jamaa yangu anadai kuna zee moja liswahilina limewavuruga majirani wote kwa maswala ya mipaka ya viwanja, sasa anasema wanaliogopa kwa sababu ya ndumba, jamaa haliishi kumfanyia vituko mara kumzibia njia, mara kusogeza mpaka kwa lazima, wamepigishana mikelele sana hadi nimemshauri aende serikali za mtaa.....ngozi nyeusi tuna mambo ya hovyo hovyo sana, wazungu wanapotuona kama manyani hilo povu linalotutoka si la dunia hii lakini utaona kabisa sisi ni viumbe wa dizaini tofauti. Mtu akionyesha kufanikiwa iwe kwenye biashara, kazini nk. watu wanaanza kumwona kwa jicho ovu, utapigwa fitina, majungu, ulozi na mambo yote ya giza unayojua....halafu kuna watu wanasema tutawafikia wazungu kwa maendeleo...
 
Wachawi nawajua kama mi ndo nimewaumba vile. Kitaa nnachotoka mimi uswazi ni nyumba mganga, nyumba mchawi, nyumba mganga nyumba mchawi.

Mjomba mganga Shangazi mchawi. Mama mganga, mama wa Kambo mchawi.

Watoto wadogo vbaka machokoraa, dada zao malaya, Kaka zao majambazi.

Chimba fukia vunja Nazi nuia ndo daily life style.

Saikolojia ya Wachawi naifahamu kama samaki wanavyo Jua kuogelea.

Kuna kitu kimoja ambacho ni common karibu Kwa Wachawi wote. Wachawi wanapenda Sana Comouflage. Wanapo piga tukio la kichawi huwa Wana dress up the scene to make it look like something else.

Mfano wake ni kama kisa cha Yusufu na nduguze.

Baada ya Ndugu WA Yusufu kumuuza utumwani ndugu yao walichinja kondoo damu ya kondoo waka paka kwenye kanzu ya Yusufu kisha wakaenda kumpiga sound Mzee Yakobo kwamba mwanae ameuwawa na Simba.

Mzee alipo tazama kanzu ya mwanawe ilivyo chanwa chanwa na kuloa damu kweli aka amini mwanae ameuwawa na Simba.

Babu WA watu akamwaga chozi aki amini mtoto wake ameuwawa na Simba kumbe yupo kachukuliwa kapelekwa utumwani kama watu wengi Leo hii mnavyo walilia ndugu zenu mkiamini wamekufa kumbe wamechukuliwa utumwani usukuleni.

Mwaka 93 when I was still a Lil Bow Wow. Nilikuwa darasa la pili. Kuna Jamaa aliitwa Kobelo huyu alikuwa amemaliza la Saba tayari and he was like 18.

Jamaa alikuwa anaupiga mpira Mwingi hatari Kwa walio kuwa wanamfahamu Huyu Jamaa ambae kitaani alipewa jina Kipese akifananishwa na Thomas Kipese, na ambao walifariki at around 92 au 93 before December , basi huko mbinguni walipo watakuwa wanajua Huyu Jamaa huku duniani atakuwa ana chezea Barcelona au Real Madrid.

Mwaka Huo Pamba ya Mwanza walikuja Darusalama kucheza na Simba. Mjomba wa Kobelo akaenda kuongea na viongozi wa Pamba ya Mwanza Kobelo afanye nao mazoezi. Pamba ya kina Alphonce Modest.

Viongozi wakakubali na kweli Kobelo akaenda kufanya mazoezi na Pamba. Unaambiwa kiwango alicho kionyesha wazee wakamuelewa Sana wakaomba kuondoka nae Mwanza ili asaini Pamba msimu wa mwaka 94

Ilikua ni siku ya Jumatano. Mechi ya Pamba na Simba Jumamosi jumatatu Kobelo anatakiwa kusafiri na Pamba Hadi Mwanza.

Kwa kiwango cha Kobelo kama aangesaini Pamba basi msimu uliokuwa unafuata lazima Ange saini Simba au Yanga.

Habari zikatapakaa kitaani.

Jumamosi kukawa na harusi. Hizi harusi zetu za Kiswahili za watu kuoana bila dating. Kobelo alikuwa ni mmoja wa walio hudhuria harusi hiyo. Ilikua ni ya ndugu wa ukoo wake. He was lured to attend.

On the fateful day Kobelo anaenda kwenye harusi, Kobelo anakula Pilau baadae anarejea nyumbani kwao masaa kabdhaa badae tumbo kichwa kinaanza kumu Uma.

Maumivu yanaendelea kidogo kidogo. Joto linapanda Kwa Kasi ya ajabu Sana kiasi ungeweka sufuria la maji ya baridi kichwani kwake na baada ya dakika kadhaa maji yangechemka kama maji ya kunyonyolea kuku.

Kobelo anakimbizwa hospital. He dead on the arrival. Kumbe they didn't know he was gone toka enzi za Pontyo wa Pilato.

Safari ya Kobelo ikaishia hapo.

Back kwa Afande Ustaadh. Kifo chake kinaweza kuwa the handwork of his village people

Kwanini wamroge?

Kwa sababu ya kipaji chake cha kuhifadhi Aya za Qur'aan Tukufu.

Kwanini?

Kwa sababu ni utajiri. MTU mwenye karama hiyo Hawezi kuwa masikini hata siku moja.

Watu walishaanza kumuona na Alisha Anza kuwa maarufu. Na kama angekuwepo basi bila Shaka baada ya muda mfupi angeanza kupata mialiko ya ndani na Nje ya nchi kwenda kuwasomea watu dua. Baada ya muda mfupi sana.huyu Jamaa angekuwa milionea.

So Kuna uwezekano mkubwa Sana Huyu Jamaa akawa ametupiwa mdudu na watu WA nyumbani kwao.
Kuna haja gabi yabkujifunza korani kama anaweza kurushiwa jini na korani ishindwe kumlinda?
Huyu kafa kwa korona. Nukta
 
The reason hao akina Mzee wa Upako wanakuwa matajiri kuliko mashekhe wetu ni..moja Tu nayo ni Kwa sababu wanatembelea Nyota ya Yesu.
Nyota ya yesu? Wapi yesu kauza kitambaa? Wapi yesu kauza mafuta ya upako? Acha kumhusisha yesu na wapiga deal! Nasimama pale pale kamanda masoud r.i.p kusoma kwake quran pamoja na wasomaji wote unaowajua wewe duniani hao wanatafuta radhi za mwenyezimungu na sio hiyo quran ndo iwe mchongo wa kumuingizia yeye hela. Quran sio msingi wa kupiga hela na ndio maana wasomaji wengi wa quran wana michongo yao ya kutafuta rizk mfano kamanda masoud r.i.p. hayo mambo yapo huko kwenu na dini kugeuza msingi wa biashara na hili ulimwengu mzima unajua.
 
Binadamu kila mtu ana maisha yake mpaka siku yake ya mwisho ila kutunga ujinga ni jambo baya sana
Watu wanakufa kila kukicha na wanaacha huzuni kwa wapendwa wao halafu mtu anaibuka na kuanza kashfa sio vizuri
Karma ipo siku zote


Sent from my iPhone using Tapatalk
Noted!
 
Utasikia Moods wanajitetea eti kuna habari huwa hawazioni wanasubiri watu wabonyeze sehemu ya report ndo wapayte habari,kwa leo ni birthday ya Brother Melo.

kuna haja ya kuangalia sana mwenendo wa wafanyakazi wake kwa mustakbali wa Jf,leo unafungua thread unakutana na mambo ambayo siyo kwamba tu hayaeleweki lakini pia ni chuki binafsi tu za mtu alokaa ndani kwake na bundle likaanza kumsumbua.

Invisible litazame hili,kila siku mnalalamikiwa mmekua kama baadhi ya serikali za watawala wa kiafrika,kila wanachoambiwa wanaziba masikio.
Lakini hili ni jukwaa huru, yoyote anaweza kuandika chochote, ilmradi hajavunja sheria za JF. Sioni sababu ya kuondoa uzi huu
 
Pumba ya mwaka kuwahi kusikia tangu mwaka huu uanze...
Samahani kama nimekukwaza namimi nimeamua kutoa maoni kama wewe ulivyotoa yako.
 
Tuziache mamlaka zifanye uchunguzi wake wajue kilichomkuta.
 
Swali gumu.

Wachawi hawana adabu.

They only fear Jesus.
If u don't have Jesus then u have to be sure that Ur naked from.the point of Evil people's observation

According to your personal faith. We call this a claim not Truth. It is your faith that has taught you like that.

He died because he died. Full Stop !

You will die too, matter of time . Whether you have Jesus or you don’t have, death is just looking at you .
Punguza your little ego


Mk54
 
According to your personal faith. We call this a claim not Truth. It is your faith that has taught you like that.

He died because he died. Full Stop !

You will die too, matter of time . Whether you have Jesus or you don’t have, death is just looking at you .
Punguza your little ego


Mk54
Sawa
 
Mkuu umezingua. Umeandika kama demu
Sikujua kama una akili za kishamba kiasi cha ujinga wa kiwango juu kama hiki.
Kajifunze mambo ya lugha maana huwezi zungumzia dini kama ujuzi wako wa lugha ni sifuri kiasi hiki.
 
Sikujua kama una akili za kishamba kiasi cha ujinga wa kiwango juu kama hiki.
Kajifunze mambo ya lugha maana huwezi zungumzia dini kama ujuzi wako wa lugha ni sifuri kiasi hiki.
Mtoto wa kiume unachamba kuliko dada zako. Aisee we Jamaa sio wa kuanzisha nae ligi aisee.. kaka wa michambo unatisha...

Ila macho yako yamekaa kama vidonda are you sure Ur not sick?

Please usini chambe
 
Back
Top Bottom