Afande Msoma Qur'aan anaweza kuwa katupiwa jini tusiisingizie Corona

Umasikini, uchawi na kupiga nyungu ni vitu vinavyoenda sambamba
 
Kwahiyo tuishi kwa kujificha ficha kisa uchawi?Mtaani ama mitandaoni papambwe na nini? Majeneza na Tanzia?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usikariri..... Hukaambiwa siwapendi bali kuwaamini! Unajua anayepaswa kuaminiwa ni nani? Tafuta maana ya neno imani ndio uje uandike! Allah pekee ndiye anayepaswa kuaminiwa pasi na shaka na sio kiumbe! Ila sikupingi endelea kuamini kwani wao ni watakatifu kwa kuwa walikuzaa hivyo kamwe hawawezi kukulet down.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kha.
 
Kuna jamaa yangu anadai kuna zee moja liswahilina limewavuruga majirani wote kwa maswala ya mipaka ya viwanja, sasa anasema wanaliogopa kwa sababu ya ndumba, jamaa haliishi kumfanyia vituko mara kumzibia njia, mara kusogeza mpaka kwa lazima, wamepigishana mikelele sana hadi nimemshauri aende serikali za mtaa.....ngozi nyeusi tuna mambo ya hovyo hovyo sana, wazungu wanapotuona kama manyani hilo povu linalotutoka si la dunia hii lakini utaona kabisa sisi ni viumbe wa dizaini tofauti. Mtu akionyesha kufanikiwa iwe kwenye biashara, kazini nk. watu wanaanza kumwona kwa jicho ovu, utapigwa fitina, majungu, ulozi na mambo yote ya giza unayojua....halafu kuna watu wanasema tutawafikia wazungu kwa maendeleo...
 
Kuna haja gabi yabkujifunza korani kama anaweza kurushiwa jini na korani ishindwe kumlinda?
Huyu kafa kwa korona. Nukta
 
The reason hao akina Mzee wa Upako wanakuwa matajiri kuliko mashekhe wetu ni..moja Tu nayo ni Kwa sababu wanatembelea Nyota ya Yesu.
Nyota ya yesu? Wapi yesu kauza kitambaa? Wapi yesu kauza mafuta ya upako? Acha kumhusisha yesu na wapiga deal! Nasimama pale pale kamanda masoud r.i.p kusoma kwake quran pamoja na wasomaji wote unaowajua wewe duniani hao wanatafuta radhi za mwenyezimungu na sio hiyo quran ndo iwe mchongo wa kumuingizia yeye hela. Quran sio msingi wa kupiga hela na ndio maana wasomaji wengi wa quran wana michongo yao ya kutafuta rizk mfano kamanda masoud r.i.p. hayo mambo yapo huko kwenu na dini kugeuza msingi wa biashara na hili ulimwengu mzima unajua.
 
Noted!
 
Lakini hili ni jukwaa huru, yoyote anaweza kuandika chochote, ilmradi hajavunja sheria za JF. Sioni sababu ya kuondoa uzi huu
 
Pumba ya mwaka kuwahi kusikia tangu mwaka huu uanze...
Samahani kama nimekukwaza namimi nimeamua kutoa maoni kama wewe ulivyotoa yako.
 
Tuziache mamlaka zifanye uchunguzi wake wajue kilichomkuta.
 
Swali gumu.

Wachawi hawana adabu.

They only fear Jesus.
If u don't have Jesus then u have to be sure that Ur naked from.the point of Evil people's observation

According to your personal faith. We call this a claim not Truth. It is your faith that has taught you like that.

He died because he died. Full Stop !

You will die too, matter of time . Whether you have Jesus or you don’t have, death is just looking at you .
Punguza your little ego


Mk54
 
Sawa
 
Mkuu umezingua. Umeandika kama demu
Sikujua kama una akili za kishamba kiasi cha ujinga wa kiwango juu kama hiki.
Kajifunze mambo ya lugha maana huwezi zungumzia dini kama ujuzi wako wa lugha ni sifuri kiasi hiki.
 
Sikujua kama una akili za kishamba kiasi cha ujinga wa kiwango juu kama hiki.
Kajifunze mambo ya lugha maana huwezi zungumzia dini kama ujuzi wako wa lugha ni sifuri kiasi hiki.
Mtoto wa kiume unachamba kuliko dada zako. Aisee we Jamaa sio wa kuanzisha nae ligi aisee.. kaka wa michambo unatisha...

Ila macho yako yamekaa kama vidonda are you sure Ur not sick?

Please usini chambe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…