Afande Msoma Qur'aan anaweza kuwa katupiwa jini tusiisingizie Corona

Mtoto wa kiume unachamba kuliko dada zako. Aisee we Jamaa sio wa kuanzisha nae ligi aisee.. kaka wa michambo unatisha...

Ila macho yako yamekaa kama vidonda are you sure Ur not sick?

Please usini chambe
Unapoandika kitu na mwanaume,ongea kama mwanaume,siyo unakurupuka kuzungumza,kikubwa zaidi,kabla ya kuandika chochote tumia akili,usitumie zile sehemu nyingine katika kufikiria,wewe siyo mtoto tena,ushakua mtu mzima acha kuogopa kuongea na wanaume wenzako.
 
Jamaa unachamba hatari.. we ni noma Kwa kuchamba.. mchambaji nambari wani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…