Afande Muliro kuwa askari isiwe sababu ya kuvua ubinadamu. Ina maana unajitoa fahamu juu ya vipigo vya polisi?

Afande Muliro kuwa askari isiwe sababu ya kuvua ubinadamu. Ina maana unajitoa fahamu juu ya vipigo vya polisi?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Screenshot_20230106-112034.jpg
 
Duuh! Huyu kamanda ana majibu na maswali ya kikamanda Sana. Anyway!
 
Msihangaike na huyo kwa Sasa,sio muda mrefu anavua hizo gwanda tutakuwa naye Kitaa,kwani tarehe 21.01.2023 anaanza likizo yake ya Kustaafu!!
 
Ikiwa ni kweli ni bora maana huyu kaja kuwaweka na kuwarudisha Dar es salaam polisi wengi waliokuwa wamepelekwa mikoani ambao walikuwa tuhuma kuwa wezi.wapigaji waonevu na waliojaa rushwa
 
Ukisikia kulewa madaraka ndiyo huko, Hivi Ile tume ya kufanyia malekebisho vyombo vya ulinzi na usalama bado iko kazini?. Kisha utegemee ushauri wa kujenga toka kwa wazee wa hivi SAHAU.
 
Back
Top Bottom