Afande Muliro: Ukivuruga paredi la Yanga tutakushughulikia

Hii timu inaonekana Mashabiki wake wote ni wanawake Maana Kila shabiki wa timu hii anajua mipasho utafikiri Hadja Kopa.
 
Simba walisema watapiga 10 wakaishia4, nyie ndio kwanza mko msimu wa tatu kelele kibao
5imba mipango yao ilikuwa zaidi kuwategemea binadamu wakatili Kayafa Jiwe na Bashite,sisi Yanga tunamtegemea Mungu na mipango thabiti ya kisasa.
 
makolo wanaruhusiwa kushangilia wakiwa juu kwenye gorofa la mo
 
5imba mipango yao ilikuwa zaidi kuwategemea binadamu wakatili Kayafa Jiwe na Bashite,sisi Yanga tunamtegemea Mungu na mipango thabiti ya kisasa.
Mungu gani huyo aliyeshindwa kuwasaidia kule south? Au mnamtegemea mkiwa tz tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…